Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

Mtafutie, kwani mpaka akwambie kuwa alikuombea baraka kwa mungu wake ili uendelee kuwa daraja la wengine?
 
😅😅😅
Nakufuata pm nimeona comment zinasema una maokoto
Nije tushinde wote kko
Ht sio marketing
We unamsikiliza Lamomy nae, sema njoo huwezi lala njaa...tupige makofi na kuimba ili wateja wanunue mitumba 🎶 haya haya elfu mbili elfu mbili🎶
 
Huyo dogo kiazi sana. Hajui kuishi na watu na hatoenda zaidi ya hapo
 
Leo kanitext nilijua anataka anishukuru arudishe kiutu uzima ile pesa niliyomtumia kumbe anataka nimpigabie ajira ofisi fulani ya umma.
Dogo amekupa Cheo kikubwa sana wewe anakuona km godfather, sasa haya unayoyasema hapa inabidi umweke chini umweleze akipata Pesa anunue hata Sukari au kilo ya nyama akuletee akishindwa basi hata fungu za nyanya na vitunguu au viazi mviringo au Samaki wabichi akuletee
 
Asante ni neno kubwa sana.

Kuna wakati unasaidiwa pakubwa hadi unapagawa ni kwa namna gani unaweza kushukuru.

Ukipiga hesabu za manufaa uliyoyapata unashindwa utoe kiasi gani kumshukuru aliyekusaidia.

Inawezekana kijana yupo katika hali hiyo ila kumbe wewe upo mtandaoni kumlaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…