Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

Mtoa mada ebu acha huo wivu wako bana, Kama hukujaliwa ndevu Ni Bora ujivunie ulichojaliwa na Mungu kuliko kuwachamba watu.We vipi banaa?
 
Kumekuchaaaa, lakini naona kuna ka ukweli kwa mbaaali
 
Wanaume wa siku hizi Mhhhhh.
 
Umeiweka too general mkuu. Umewachukia sana bila shaka, ila sio wote wako hivo. Wengine ni watu poa sana na ni watu wa kuigwa kwa kizazi hiki.
 
Hii imekuja ghafla sana, ungetuandaa kwanza mkuu
 
Sasa wewe inakuuma nini hasa????? maana kwa jinsi navyoona ni kama vile hayakuhusu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] au dada yako kawa victim??!

Kwani una midevu?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe ni Me au Ke?
 
Lazima unawasema wale vijana wa makumbusho tu ukilinganisha na gsm hana ndevu, hersi hana ndevu, bakhresa hana ndevu, mo dewj hana ndevu, freddy vunja hana ndevu, Dangote hana ndevu, uhuru kenyatta na rutto hawana ndevu, kikwete hana ndevu, billgate hana ndevu, lowassa na kasssimu majaliwa hawana ndevu, Ramaphosa hana ndevu. Anyway acha hao wafuge pesa na wengine wafuge ndevu ndio kuchagua kwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…