Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

Tusiishie kulaumu wanawake Tu, tukubaliane na uhalisia kwamba miongoni mfumo wa maisha tulio upokea kwa jina la utandawazi Una mchango mkubwa katika kutikisa taasisi ya ndoa, watu wanaingia kwenye ndoa kupitia lifestyle za wenza wao wanazoziona kwa juu juu Tu ama mitandaoni, mtu huna background ya familia yake mnakutana ki mjini mjini mnaingia kwenye mahusiano baada ya mapenzi kuwanogea mnatangaza ndoa, kwa mtindo huo kutoboa ni bahati nasibu.

Mmekutana kwenye early 25's ama 27's zenu, mna background tofauti, mnaficha tofauti zenu ili mfikie lengo la ndoa ili kukwepa presha kutoka kwenye familia au jamii zinazowazunguka, mkishaingia kwenye ndoa kila mtu anaanza kutoa makucha yake sasa, mwingine kwao wana asili ya kuamini imani za kishirikina mkishaingia kwenye ndoa ndio anaanza rasmi kugeuza nyumba yenu kama uwanja wa majaribio, mwingine kwao wana asili ya kiburi akisha ingia kwenye ndoa ndio anaanza kukuonyesha vizuri kiburi chake.

Kutokana na mabadiliko ya ki mfumo wa maisha ndio maana hao waliotuletea utandawazi walikuja na aina tofauti tofauti za ndoa, ndoa za mikataba, ndoa za open relationship etc.

Ukiangalia jamii zilizokataa kuingia kwenye mfumo wa utandawazi utaona hata rate ya talaka ni ndogo sana kwao.
 
Kabisa Mimi ni parent wote au napita tu
 
Nina demu wangu yaani ananikata mood wakuu yaani anavaa kipensi kifupi anasem hata wazazi wake wanamruhus kiukwel nimeamua niachen nae maan nimeona kabisa ntaishia kuja kuvaa karoti ...
mavazi ya ovyo kabisa mapaja nje matiti nje kiukwel ananiita mimi mshamba nimemwambia acha niwe mshamba mwelevu kuliko wew mjanja nimepiga chini wazee atanisameh miez miwil sas nishakata mawasiliano nae na ashajua nime move on
 
UKIANGALIA JAMII ZILIZOKATAA KUINGI KWENYE MFUMO WA UTANDAWAZI UTAONA HATA RATE YA TALAKA NI NDOGO SANA NA KUNA MABINTI WENYE HESHIMA HATA KUVAA KWAO.
 

Nakazia:

#ulokole usikupotoshe!
 
waeleze aisee WEDDING siyo WELDING 😁
 
Kwanini vijana wengi mnalalamika sana now days kuliko wanawake
 
😂😂 dah ila taratibu kizazi cha kiume kinadidimia, why kila uchwao ni malalamiko dhidi ya wanawake. Ile sauti kuu ndani ya nyumba siku hizi inapotea.
Imepotea kabisa, single mother wanawaharibu watoto kabisa Tena maasingle mother waajiriwa ndiyo hovyo na omba omba balaa kujidai kuwasomesha watoto shule wasizokuwa na uwezo nazo kwa kutegemea watadanga makazini? Wakikukopa hata 20tu umeenda kula mzigo.
 
KIUKWELI KABISA MIMI NIKIWA GENIUS NAUNGANA MKONO NA WANAO KATAA NDOA NA KUZIONA UPUMBAVU ...MAANA NI KWELI KUOA NI UPUMBAVU WA KUJITAKIA HAKUNA FAIDA YOYOTE KUBWA...HASARA ZA NDOA KWA SASA NI NYINGI KULIKO FAIDA BORA KUMILIKI PESA INAWEZA KUTATUA MATATIZO MENGI KULIKO KUWA NA MKE ...FAIDA ZA KIFAMILIA ZINAZO PATIKANA NDANI YA NDOA ZIME SHUKA SANA SIKU HIZI...NDIYO MAANA VIJANA WAMEAMUA KUZAA TU NA KULEA WATOTO....KITU CHA MSINGI NI KUWA NA PESA NA KUITUMIA VIZURI KWA HAKI BASI
 
Achana nae. Kifupi kuwa free kujua wapoje hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…