Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

Wachache sana watamuelewa mtoa mada. Wanaume tunapaswa kujipendelea
Kabisa, alafu msichogundua single mother kuna mambo mengi wanaendana, single mother wa maofisini wanapenda sana magaun flan ya kujiachia mafupi na kwenye pochi zao wamejiandaa kuliwa muda wowote, hawakosi miwani mikubwa na mtandio, chup na kanga na katu hutawakosa na wipes, hizo miwani na mtandio huwa wanapenda kujitanda wakiwa wanaingia gest!
 
KIUKWELI KABISA MIMI NIKIWA GENIUS NAUNGANA MKONO NA WANAO KATAA NDOA NA KUZIONA UPUMBAVU ...MAANA NI KWELI KUOA NI UPUMBAVU WA KUJITAKIA HAKUNA FAIDA YOYOTE KUBWA...HASARA ZA NDOA KWA SASA NI NYINGI KULIKO FAIDA BORA KUMILIKI PESA INAWEZA KUTATUA MATATIZO MENGI KULIKO KUWA NA MKE ...FAIDA ZA KIFAMILIA ZINAZO PATIKANA NDANI YA NDOA ZIME SHUKA SANA SIKU HIZI...NDIYO MAANA VIJANA WAMEAMUA KUZAA TU NA KULEA WATOTO....KITU CHA MSINGI NI KUWA NA PESA NA KUITUMIA VIZURI KWA HAKI BASI
ALAFU WANAWAKE WENGI WALIOZALIWA MIAKA YA 82-90KUENDELEA BAADHI YAO WAMEKUWA NA ULIMBUKENI WA MITANDAO WA HOVYO KAMA WATOTO WA ELFUMBILI.
 
Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
Najuta kuchelewa kujua mambo kama haya au kutoyapa uzito unaostahili, maana yaliyonikuta mh! shetani mwenyewe yuko paleee kapiga zake pozi anaskilizia ninavyogwaya.
 
KABLA YA YOTE HAKIKISHENI MNAOA MWANAMKE BIKRA! MWANAMKE ASIE BIKRA HUYO SIO MKE WAKO NA HAWEZI KUJA KUMSAHAU ALIE MBIKIRI KAMWE! KITU USED NI USED TU, NA HAKIWEZI KUFANANA NA KITU KIPYA MPAKA MWISHO WA DUNIA
Huu Ni ukweli unaouma, Ila kupata bikra kwa Sasa Ni ndoto wakishaanza form one tu kwisha habari!
 
Ni mambo tunayo yaona mitaani,
Single mother wengi wapo buys kutafuta hela kushindana na wanaume huku wakisahau kabisa malezi ya watoto!
Wewe umeongea ukweli asilimia 95 kuhusu single mothers.

Wanapulukushana kweli mtaani ila lengo ni kutaka kuwaonyesha ma ex zao kuwa hata wao wanaweza kulea mtoto bila uwepo wao..
 
Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
Noted...
 
Ulichokiandika ni utafiti ambao ulishafanywa na wanasaikolojia. Mwanamke aliyelelewa na single mother watafiti wanasema wana changamoto zifuatazo kwa uchache:

1) Wanajiamini sana (overconfidence)
Kitu ambacho muda wote wanajiona wapo sahihi kwa kila wanachokisema na wanachokifanya. Tabia hii inawajengea wanakuwa wajuaji mnoo! Na tabia ya ujuaji mnamfanya ni mwanamke asiyemsikiliza mwanaume wake na ni tabia ambayo hata ukithubutu kumsahihisha hakubali kosa.

2) Hajui nafasi ya mwanaume ipi kwenye mahusiano
Kwa sababu kwenye malezi yake amekosa father figure haijui nafasi ya mwanaume ni ipi kwenye mahusiano. Hii inapelekea kutoweza kuthamini jitihada za mwenzake.

3)Anataka a-control kila kitu
Wataalamu wanasema kwa kuwa kila kitu alisimamia mama kwenye malezi hivyo kwa binti hudhani mwanamke ndivyo inavyompasa kuishi kwenye maisha yake. Hivyo binti huyu akiwa kwenye mahusiano naye atataka kum control mwanaume yaani awe juu yake. Yeye ndiye aamue kila kitu na ndiye mwenye kauli ya mwisho.

4) Ana ujike udume
---------------------
Aina hii ya mwanamke huwa hafahamu nafasi yake ni ipi! Kukuheshimu na kukupatia nafasi yako kama mwanaume ni ngumu. Ili uweze kumdhibiti ni kwa namna mbili: Mosi, kupitia kwa mama yake ikiwa kama mama yake ni muelewa kwani aina hii ya wanawake wanawasikiliza sana mama zao, mama yake ndiye kila kitu. Kwa msingi huo ufahamu ya kwamba atakayekuwa anafanya maamuzi kwenye ndoa yako ni mama yake.

Pili, awe amesoma masomo ya dini. Hii itasaidia kwa kumuogopesha kuwa anayoyafanya anamuasi Mungu wake. Kwa kuwa dini inamtaka mwanamke amheshimu mwanaume wake inamfanya kwa kiasi fulani kumfanya afakirie yale yanayomsukuma kutokana na malezi aliyoyaishi.

Mbaya zaidi hawa wanawake huwa hawafahamu kama wana matatizo mpaka yawakute mambo mengi ndipo atakapojihisi kama ana dosari.

Na hata familia ambazo mwanamke ndiye mwenye sauti sana kuliko mwanaume ndani ya ndoa huwa zinatoa mwanamke wa namna hii! Kwa sababu kiigizo cha mwanamke ni mama yake. Ikiwa mama kwenye familia ni kila kitu fahamu ya kwamba utatoa aina hii ya mwanao (binti) kwenye jamii.

Nukta ya nyongezea, aina hii ya mwanamke huwa anamsikiliza sana mama yake na rafiki zake kuliko wewe mwanaume wake.
 
Back
Top Bottom