Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Tena sana watu wanapotea Kwa ujinga wa kujazwa upepo na majitu ambayo hayatoweza kumsaidia likimkuta la kumkuta
Angalau wewe umebalansi!
Niko zangu hapa mbambalaga katika Harakati Za kusaka mbususu ya kuichakata usiku 🤣

But now I understand Kwanini baba Levo baada ya kuwa diwani alipofungwa mwaka mmoja baada ya kutoka jela aliamua kuwa mnafiki mnafiki
hii comment yako Kiboko! U keyboard warrior kama wa Erythrocyte au Retired au Leo Mrs Byesige afadhali ila wa Mdude mh! Introvert Member yupo sahihi ukiangalia kilio cha mke wake.
 
Umeamua kujisifia kuwa unazo point kwa ID nyingine
Mkuu, soma maandiko yangu yalopita! Mimi nina ID moja tu. Nasema amejilipua maana hapa JF, Pro-Chadema ni 99.99%, na wengi ni Vijana wenzenu, hivyo alichokiandika Introvert Member , hata mimi na uzee wangu, Siwezi hapa JF!

Lakini hata sisi tulikuwa kama vile wakati wa ujana wetu, hivyo siwashangai! Nakumbuka hamasa za Marehemu Mtikila na magabacholi, tushawahi kuanza maandamano toka Jangwani tunaelekea Ikulu…. Niachie hapo, kila umri na mambo yake!
 
Sawa Mkuu 🙏🙏
 
Ulitaka kusema nini?
 
wakina Mwl nyerere wangekuwa na akili kama zako sijui Tanganyika ingekuwaje leo au mandela huko afrika ya kusini kwakweli nchii watu wenye fikra kama zako basi bado tuna maiti za kutosha
 
Niko zangu hapa mbambalaga katika Harakati Za kusaka mbususu ya kuichakata usiku 🤣

But now I understand Kwanini baba Levo baada ya kuwa diwani alipofungwa mwaka mmoja baada ya kutoka jela aliamua kuwa mnafiki mnafiki
Kula bia bila MASHAKA...as long as you only mind your bussiness
 
Uzi umenyooka huu.

Pambana na dola ukiwa msituni umeshika mtutu dola itakuelewa,sio unapambana na dola eti umelala nyumbani hata mbwa wa kukulinda auna,alafu unaipa serikali siku tatu ifate maagizo yako wewe panya.
Tatizo wanaangalia sana movie za kihindi
 
Una umri gani?sounds too childish
Halafu ni too childish sana.

Ms inaonesha anaumia sana sana na maandishi ya watu humu.Kwani hili neno keyboard worrier kaliandika mara nyingiii isivyo kawaida.Hata shule hamna humu.
Jambo la kumfunza huyu ni anatakiwa ajue kuwa kalamu ina nguvu kuliko bunduki.

Hata hivyo ni nini faida ya unyama ule kwa aliyeagizana aliyetekeleza? Hata kwako wewe unayefurahia haya mabaya machoni pa mwenyezi Mungu unanufaika nayo vipi?
Mungu huwa ni muweza ya yote.
 
Keyboard warrior naona mnaendelea kubana pua mkiwa chumbani mmejifunika shuka mikwara kibao
 
wakina Mwl nyerere wangekuwa na akili kama zako sijui Tanganyika ingekuwaje leo au mandela huko afrika ya kusini kwakweli nchii watu wenye fikra kama zako basi bado tuna maiti za kutosha
We mjinga sana Nyerere kafanya nini zaidi ya kutuletea mkoloni mweusi ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…