Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mdam wanasema maji hufata mkondo...Uzee ni baraka, mi natamani mshua hata angeishi miaka 50 lakini ndo hivyo aliondoka kbl hata hajanusa 40, dogo nae kamfata mzee mapemaa ngoja nione mie km nitatoboa walau mpaka 80 sio mbaya
Kujikeep keep 😹Sasa ajuza waenda saloon kufanya nini na umri ushakutupa mkono?
Si kweliMdam wanasema maji hufata mkondo...
Ni kweli biologically factSi kweli
Yule mmbulu mwingi wa habariWarembo hawana hela jamaa huwa anapenda mishangazi yenye hela
Mm sikuwahi kujua kwamba wanaume nao huwa wanapaka make up.Na amejua kuwa hajapaka make up. Kuna muda sijui kama hata jamaa zangu wamechana nywele au la
Ukimsikiliza kaka yake Dida kuhusu kilichosababisha mauti ya dada yake, hamu ya kuoa inatoka wapi hapo?Sasa kwa nini haoi warembo wote hawa Town?
JF haina watu dizaini ya Mafwele.Mm sikuwahi kujua kwamba wanaume nao huwa wanapaka make up.
Naamuru jf imchunguze mtoa mada tujue kabisa kama ni upinde ama laah.
Acha ungese wrewe studio za Radio/Tv kuna watu maalum wameajiriwa kuwapaka makeup watangazaji,huwezi kutokea kwenye luninga uso mkavu,naongea mimi pdidy wa bongo njoo nikupake mafutaMm sikuwahi kujua kwamba wanaume nao huwa wanapaka make up.
Naamuru jf imchunguze mtoa mada tujue kabisa kama ni upinde ama laah.
ZIkirudi mara ya pili utsimba haleluya,ila bora mvi kuliko upara ,kuotesha nywwle ni milion 4Nje ya mada. Hivi mvi huwa kuna some cases ikifika muda zinatoweka kwa muda? Mimi zilianza kutoka nikiwa na 38 years hivi, kwa kuwa nilijiona bado kijana nikawa naweka piko. Baada ya kuvuka 40 nikaona ni utumwa, nikaacha kuweka niziachie. Lakini ajabu ni kwamba hazitokei tena kwa sasa
Kifo ndio kitu pekee binadamu tuna uhakika nacho,hata usipokufa kama Dida utakufa kwa namna nyingine...ajali,usingizini,malaria,kuhara n.k...so usijione huumwi kama Dida ukajihakikishia kufika huko uzeeni unakokutakaUkimsikiliza kaka yake Dida kuhusu kilichosababisha mauti ya dada yake, hamu ya kuoa inatoka wapi hapo?
Bora uzeeke uendelee kuishi kuliko kujitia una moyo mpana ukaishia njiani
Ndoa inapambaniwa hapa si mchezo😄Kifo ndio kitu pekee binadamu tuna uhakika nacho,hata usipokufa kama Dida utakufa kwa namna nyingine...ajali,usingizini,malaria,kuhara n.k...so usijione huumwi kama Dida ukajihakikishia kufika huko uzeeni unakokutaka
Nusu ya hiyo 80🤣🤣Pole sana, Mungu ni mwema 80 utafikisha. Sasa hivi unacheza kwenye mingapi?
Kuna vijana wa hovyo watakuja kusema mshangazi wa kwenda. Ila natamani sana siku moja tuonaneNusu ya hiyo 80🤣🤣
Hando ni mtu mzima sana, above 53Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza