Nenda jamii intelligence au jf doctor huko kuna mada upendazo,celebrity forum ni umbea wa p diddy na mastar wengineJamii forums sku izi imekua kijiwe cha umbea hatuna mada nyingi za kusisimua , mara fulani kazeeka,mara fulani kanenepa,mara kakonda,mara kaishiwa
Sahihi, Hata hivyo Hando amejikaza kisabuni, wanaume wakifiwa na wake zao mara nyingi huwa hawachukui Round nao hutembea.Sure,wanaume ni kama watoto wakipata mke anayejielewa hiyo inawaumiza huyo mtu anapoondoka
Kwani mwaka umepita?Sahihi, Hata hivyo Hando amejikaza kisabuni, wanaume wakifiwa na wake zao mara nyingi huwa hawachukui Round nao hutembea.
🤣🤣Ukifiwa na mke wako, Mungu kakupa 2nd chance. Sasa wewe zingua tena, Unakufa wewe.
Astaghifilullah!🤔Nani anataka kuwekwa kwenye grid?
Jambo umelieleza lina uhalisia hili.Sasa mimi namtaka huyo Hando?kwanza nakutana nae wapi?ni hivi,nilitaka tu kukumbusha umuhimu wa ku spare maneno kuliko kuona mtu mwenye ugonjwa fulani ndio atatangulia kufa wewe kwa vile huna huo ugonjwa utaishi hadi uzeeni,Hapana huo ni ufinyu wa mawazo,tanua mawazo yako fahamu kifo ni kwa kila mwenye uhai,na bad enough hatujui siku wala saa na tunaondoka kiana gani ...so just be humble bro
Hivi kwa nini binadamu huwa tunasahau hili?yaani mimi hata nione kakonda kabaki moja huwa simtabirii kifo haya mambo yanasiri kubwa mgonjwa kuwa hai mzima kufarikiJambo umelieleza lina uhalisia hili.
Kakangu alikuwa mzima, mama yetu anaumwa kaparalaiz miguu, hatembei.
Kaka akawa anapigia mahesabu mirathi ya mali na mashamba ya mgonjwa.
Kaja kuugua gonjwa la ajabu kwa muda mfupi na kuaga dunia na kumwacha mgonjwa bado yuko hai na mali zake.
Miaka ilipita ndo mama akaja kufariki.
Usije ukamuwazia mwenzako kifo na wewe kujiweka kando kama vile hakikuhusu!
Utakuja kung'ata shuka huku ukiwaacha ambao ulidhani watatangulia wakiendelea kudunda.
Sure,wanaume ni kama watoto wakipata mke anayejielewa hiyo inawaumiza huyo mtu anapoondoka
Good!hawakuwahi kuoa....waliooa walilemazwa so baada ya muda wanakuwa vulnerableAisee. Ila mbona wanaume ambao hawakuoa ndo wameishi miaka mingi Sana ?
Tena siku hizi vijana wanakufa sana kuliko na hao wazee, mwaka jana tulikuwa na kamgogoro ka nyumba na bamkubwa bhana, sasa dogo anaenifata akawa anaongea mbovu sana, kuwa mtu mwnyewe kazeeka hana muda mrefu ataondoka nikamwambia hata km anatunyanyasa vipi huwezi kusema hivyo kifo kinakuja bila hodi, usishangae ukamuacha we ukatangulia, akasema aaah we sis nitolee busara zako huyu atatuacha na huo wakati ukifika tutaonyeshana!!!!! Ooohhhh mwaka huu mwanzoni kapiga chini kalala aliyekuwa anamkandia alikuwepo msibani mpaka sasa yupo,, hicho ndio kifoJambo umelieleza lina uhalisia hili.
Kakangu alikuwa mzima, mama yetu anaumwa kaparalaiz miguu, hatembei.
Kaka akawa anapigia mahesabu mirathi ya mali na mashamba ya mgonjwa.
Kaja kuugua gonjwa la ajabu kwa muda mfupi na kuaga dunia na kumwacha mgonjwa bado yuko hai na mali zake.
Miaka ilipita ndo mama akaja kufariki.
Usije ukamuwazia mwenzako kifo na wewe kujiweka kando kama vile hakikuhusu!
Utakuja kung'ata shuka huku ukiwaacha ambao ulidhani watatangulia wakiendelea kudunda.
Good!hawakuwahi kuoa....waliooa walilemazwa so baada ya muda wanakuwa vulnerable
Ukioa unakuwa kama mtoto mdogo yuko kwa mama yake au bibi yake,unakuwa dependent sasa mke akiondokabahujui hata kupika chai,lazima ukome.Aisee. Ila mbona wanaume ambao hawakuoa ndo wameishi miaka mingi Sana ?
Nina mjomba wangu anatumia ARV huu mwaka wa 20+wazima waliokuwa wanamnanga tumeshawazika yeye anakula tu maishaTena siku hizi vijana wanakufa sana kuliko na hao wazee, mwaka jana tulikuwa na kamgogoro ka nyumba na bamkubwa bhana, sasa dogo anaenifata akawa anaongea mbovu sana, kuwa mtu mwnyewe kazeeka hana muda mrefu ataondoka nikamwambia hata km anatunyanyasa vipi huwezi kusema hivyo kifo kinakuja bila hodi, usishangae ukamuacha we ukatangulia, akasema aaah we sis nitolee busara zako huyu atatuacha na huo wakati ukifika tutaonyeshana!!!!! Ooohhhh mwaka huu mwanzoni kapiga chini kalala aliyekuwa anamkandia alikuwepo msibani mpaka sasa yupo,, hicho ndio kifo
Mungu wa ajabu sana, unayakumbuka ya lowasa 2015!!!Nina mjomba wangu anatumia ARV huu mwaka wa 20+wazima waliokuwa wanamnanga tumeshawazika yeye anakula tu maisha