Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

Yesu alisema,Kizazi hiki ni cha Zinaa na Dhambi.
Ndiyo maana wanapenda zinaa na uasherati mf.akina kataa ndoa na Chaputa members.
Yesu hakusema lolote juu ya nyie ma brother mnaowaambi mademu.

""Tukoganee ila ukipata mume niambie ili tuachane akuoe""

#YNWA
 
Tunakushukuru kwa kutapatia ukumbusho mzuri.

Hakika , Mimi ntalifanyia kazi wazo lako.

Lakini mbona imekuwa ghafla Sana now days KE kupambania Sana ndoa
Je ni UPENDO au MAISHA au umri au wave la watoto wa 2000s kuwa kubwa?
Utabiri wa Kwenye Isiah 4:1 umeanza kutimia mkuu
 
Yaani sisi tuwaoe nyie 😁😁🀣😁🀣 hela hatuna
Wanawake mkitaka mapinduzi katika maisha, nanyi muwaoe wamaume, kwani wamaume wanapowaoa ni lazima wapate hela? Ni maamuzi tu, hela mnatafuta pamoja!
Halafu mwanaume uliyemuoa, ukimtaliki, mnagawana mapato na mali pasu bin pasu!
 
Jibu lipo kwenye sentensi yako na jibu UNALO.

#YNWA

Tunakushukuru kwa kutapatia ukumbusho mzuri.

Hakika , Mimi ntalifanyia kazi wazo lako.

Lakini mbona imekuwa ghafla Sana now days KE kupambania Sana ndoa
Je ni UPENDO au MAISHA au umri au wave la watoto wa 2000s kuwa kubwa?
zinaa ni dhambi

Zinaa ni uchafu

HIVYO oeni
 
It is glitching in my mind.
 
😸😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Nini maana ya Ndoa? Maana ya ndoa ni taasisi inayoongozwa na kikundi cha wahuni wawili wenye malengo tofauti......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…