Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

Mbona nanyi mlipoambiwa na Mungu msile tunda mkagoma na mkala kwa makusudi mazima.

Acha wasioe tu hakuna namna
 
Magufuli tena, kivipi?
 
Zinaa ni mtazamo wako tu.
 
Marehemu Mama Lwakatare enzi zake za uhai amewahi kuwaita mabinti ambao hawajaolewa,walijazana Kanisani kwake utafikiri kuna nafasi za ajira.Akawaambia msijali mmepigwa na upepo wa Kisulisuli. Ila ndoa sasa ni ajira,ndio huwa sipendi mazoea mtaani na KE,maana wao siku hizi hawaaangalii cha mume wa mtu wala nini.
 
Mungu alisema na kusisitiza kuwa wanaowaoa waishi nanyi kwaakili, kama mliweza kumchonganisha Adam na Mungu mtashindwaje kuchonganisha mtu na mtu
 
Maisha ya ndoa unaishi bila uhuru! Ndoa na gereza fulani hivi kwa ME. Unashindwa kuishi kwa kuenjoy. Isitoshe mwishoni muhuni mwenzako analia timing hata uzeeni anakubwaga huku umepoteza resources zako zote.
 
Kama inakuja hivii halafu kama inakataa, inaoneka si lazima ila muhimu
 
Ok why hapo kwenye kutokuoa?
Nina sababu kama 5,ya kwanza Uhuru,natoka job mapema,napika,nasoma,napumzika,.usiku naangalia Movies Hadi late night,naamka mapema ratiba inaendelea,

Weekends Football tu,home au na washikaji you see?? My time is too short to share,siulizwi why simu imezimwa,uko wapi,na nani,I'm free like a bird,naishi drama,

LESS DRAMA,MORE PEACE,

Napenda kua na Uhuru kama ndege,
Nimekumbuka Movies mbili,

1: The Notebook,
Young Allie anamuuliza Noah "Allie: "Do you think I could've been a bird??

2: Forrest Gump,
Young Jenny anasali "Dear God, Make me a bird so I can fly"

Kiufupi sipendi kubanwa,..hiyo sababu ya kwanza,.
 
Na hapo hujapata mtatizo ya afya.
Na unadunda.
Ukiugua kidogo utajua maana ya mwenza.

Ila mimi argument yangu ni wanawake watuoe na sisi tudeke, halafu tukiachana tugawane 50-50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…