Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Hicho kimchezo kinahitaji umakini mkubwa sana na utulivyo. Usije ukakicheza umezungukwa na watu utakuwa.

Hicho unatakiwa ujifungie sehemu upige kazi.

Hakitaki tamaa ukitangukiza tamaa wanakupasua.

Alafu kina addiction mbaya sana nakuhakikishia ukipaya pesa utarudi kukicheza lucha ya kuoiteza 7M
 
POLE SANA ,jisamehe mil 7 ni hela ndogo ambayo haina thamani na uhai wako ,piga goti umshukuru Mungu katika ulichopitia .

Ukiona GIZA limetanda Sana katika MAISHA yako kuwa MTU wa kushukuru.

Uraibu wa kubeti utaushinda tu.
 
Kindege ni freemasons.
Pole.
Bado liko tumaini
Huyo ni Ibilisi ambaye kazi yake kubwa ni kuiba, kuchinja na kuharibu.
Amekuibia na ameshakuharibu tayari sasa anataka akuue (akuchinje)
Simama imara , funga omba atarudisha fedha zako.
Ila katika maombi ya kurudisha ulichoibiwa unatakiwa uwe na ufahamu mkubwa.
Si lazima arudishe kwa njia aliyoibia. Lakini ukimakinika itarudi na ziada.
View attachment 2915290View attachment 2915291
Brother nna shida na wewe ila naona PM yako ulivyoi-set haiingiliki
 
POLE SANA ,jisamehe mil 7 ni hela ndogo ambayo haina thamani na uhai wako ,piga goti umshukuru Mungu katika ulichopitia .

Ukiona GIZA limetanda Sana katika MAISHA yako kuwa MTU wa kushukuru.

Uraibu wa kubeti utaushinda tu.
Brother hii kauli sijaielewa "ukiona giza limetanda sana katika maisha kuna mtu wa kushukuru" kivipi
 
Hatuachi kubeti Jana nimeanza na 30,000 tu kubeti kwenye soka Sasa hivi usiku huu Nina 200k ,unaniambiaje nibeti we utakuwa junior kwenye kubeti pia hauwezi zuia hisia na haujui betting inaendaje,na unaendaje kushindana na computer,betting zote izo aviator na virtual games ni computer ata siku Moja hauwezi shindana nazo
Na hapa ndipo wengi wanakosea, hizo virtual games na casino n mbaya mno, huo uraibu kuuacha ni lazima uumie sana.
 
Back
Top Bottom