ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Duh, watu mnatoa wapi huu ujasiri? Kisa Kei tu?Ndo maana ukaitwa zero brain sheikh
Mi majuzi niligombana na wife, nikachepuka kwa kitoto kina neema za allah kama zote, baada ya kuzoeana nikakapangia mahali ukiweka Kodi na vitu vyake vya ndani na ukijumlisha kaduka nilichomfungulia pale pale maana Kuna frame kwa nje haizidi 5M, yaani ni kama nimeoa mke wa pili kwa 5M na Kila siku napata Huduma ndo niende home.... Au naweza kuweka kambi hapo hata wiki kwa safari za kufata mizigo ya biashara za uongo
Nikiskia vijana mnapoteza 5M nahuzunika sana, kama unabeti beti hata buku tu aisee, m5 ukienda dar uswahilini huko unavuta wake watatu utakatikiwa mpaka ukimbie Jiji
Poleni sana!