Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Hicho kimchezo kinahitaji umakini mkubwa sana na utulivyo. Usije ukakicheza umezungukwa na watu utakuwa.

Hicho unatakiwa ujifungie sehemu upige kazi.

Hakitaki tamaa ukitangukiza tamaa wanakupasua.

Alafu kina addiction mbaya sana nakuhakikishia ukipaya pesa utarudi kukicheza lucha ya kuoiteza 7M
 
POLE SANA ,jisamehe mil 7 ni hela ndogo ambayo haina thamani na uhai wako ,piga goti umshukuru Mungu katika ulichopitia .

Ukiona GIZA limetanda Sana katika MAISHA yako kuwa MTU wa kushukuru.

Uraibu wa kubeti utaushinda tu.
 
Brother nna shida na wewe ila naona PM yako ulivyoi-set haiingiliki
 
POLE SANA ,jisamehe mil 7 ni hela ndogo ambayo haina thamani na uhai wako ,piga goti umshukuru Mungu katika ulichopitia .

Ukiona GIZA limetanda Sana katika MAISHA yako kuwa MTU wa kushukuru.

Uraibu wa kubeti utaushinda tu.
Brother hii kauli sijaielewa "ukiona giza limetanda sana katika maisha kuna mtu wa kushukuru" kivipi
 
Na hapa ndipo wengi wanakosea, hizo virtual games na casino n mbaya mno, huo uraibu kuuacha ni lazima uumie sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…