Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikadukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najioa mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

MImi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kimesababisha kifo changu .
Hujui kutunga story vizuri. Kaa chini utunge kwa utulivu na uandike kwa hisia tukuonee huruma.
 
Ndo maana ukaitwa zero brain sheikh

Mi majuzi niligombana na wife, nikachepuka kwa kitoto kina neema za allah kama zote, baada ya kuzoeana nikakapangia mahali ukiweka Kodi na vitu vyake vya ndani na ukijumlisha kaduka nilichomfungulia pale pale maana Kuna frame kwa nje haizidi 5M, yaani ni kama nimeoa mke wa pili kwa 5M na Kila siku napata Huduma ndo niende home.... Au naweza kuweka kambi hapo hata wiki kwa safari za kufata mizigo ya biashara za uongo

Nikiskia vijana mnapoteza 5M nahuzunika sana, kama unabeti beti hata buku tu aisee, m5 ukienda dar uswahilini huko unavuta wake watatu utakatikiwa mpaka ukimbie Jiji
Acha kushauri uzinzi kengeh wewe
Hapo unajiona mjanja kumbe falah
Unapoteza 5m kisa mkundu.h🤣kweli akili ndogo🤧🤧
 
Ndo maana ukaitwa zero brain sheikh

Mi majuzi niligombana na wife, nikachepuka kwa kitoto kina neema za allah kama zote, baada ya kuzoeana nikakapangia mahali ukiweka Kodi na vitu vyake vya ndani na ukijumlisha kaduka nilichomfungulia pale pale maana Kuna frame kwa nje haizidi 5M, yaani ni kama nimeoa mke wa pili kwa 5M na Kila siku napata Huduma ndo niende home.... Au naweza kuweka kambi hapo hata wiki kwa safari za kufata mizigo ya biashara za uongo

Nikiskia vijana mnapoteza 5M nahuzunika sana, kama unabeti beti hata buku tu aisee, m5 ukienda dar uswahilini huko unavuta wake watatu utakatikiwa mpaka ukimbie Jiji
betting nyingine@dronedrake
 
Pole sana mkuu, kila kijana kuna sehemu kwenye maisha yake alishawai kufanya makosa ,so isikuumize sana thou kwa hali uliyonayo hapo kuvuka bila support ni ngumu sana

Me pia nshapata hasara nyingi sana na zimeniumiza sana ila sijakata tamaa

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
kuna sehemu usipofanya makosa fulani hutojifunza
 
Back
Top Bottom