secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Fedha huwa ni fimbo ya kuchapia unyonge
Mi mwenyewe nipo kijiji kimoja alichokitaja na nina heka kadhaa ukija nakupa tu hata moja maana ni pori sasa.Nimeshangaa sana, bahati mbaya au nzuri wilaya mojawapo kati ya alizotaja ndio nyumbani. Ardhi ya bure miaka hii
Haaa haaaa ushauri mzuri sana Ila conclusion imeniua...Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.
Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.
Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.
Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.
Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.
Unaonekana mleta fujo!Huruma sana.
Vipi kwenye kikao cha familia unaonekenaje?
Nitakuja unipeMi mwenyewe nipo kijiji kimoja alichokitaja na nina heka kadhaa ukija nakupa tu hata moja maana ni pori sasa.
Ameconclude kibabe sana!Haaa haaaa ushauri mzuri sana Ila conclusion imeniua...
Wewe tu!Nitakuja unipe
Unaonekana umefuata msosi tuuHuruma sana.
Vipi kwenye kikao cha familia unaonekenaje?
Kibabe mnooo huyu atakuwa king of masterbation maana sio kwa conclusion hiyoAmeconclude kibabe sana!
Ahahahaha. Hata ukiwa na wazo zuri ukiongea unakatishwakatishwa kisa ulipanda daladala wakati unaelekea kwenye kikaoUnaonekana umefuata msosi tuu
[emoji38][emoji38][emoji38] Noma sanaAhahahaha. Hata ukiwa na wazo zuri ukiongea unakatishwakatishwa kisa ulipanda daladala wakati unaelekea kwenye kikao
Ukitaka kuongea chochote unaonekana unataka kuleta fujo......😂Huruma sana.
Vipi kwenye kikao cha familia unaonekenaje?
Yes zinagawiwa!.. Ila nI pori Nene upambane na visiki..visiki kama huna hela unamaliza nusu mwaka kung'oaMgeni unapewa ardhi bure?? Humu mitandaoni watoto mnadanganyana sana!
Hiyo ni kweli mkuu, sema inabidi uwe na akili na upige kazi msimu unaokuja ulipie maana maeneo mengine wakiona wamekupa ardhi ya bure alafu ukafanya vizuri, msimu ujao stori zinabadilika ili mladi wakupokonye walime wao.
Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.
Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.
Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.
Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.
Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu hapa [emoji1484][emoji1484]
Huo mstari wa mwisho ndio wanaume wengi hawaelewi. Jamani ukiona huna hela au kipato chako kidogo ww jisajili CHAPUTA. Nivigumu sana kupata nyege ukiwa huna hela, tupambane hadi kieleweke.Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.
Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.
Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.
Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.
Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.
Nyeto haina shida mzee. Wanatutisha tu.Sasa Wewe hapa unatuhimiza kuwa tupige Nyeto, lakini hapo hapo Wataalam wa Afya wanasema Kupiga Nyeto ni Hatari. Je, tumuamini nani?