Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

Mwaka 2014 dumila waligawa mapori buree..Ile kulima msimu mmoja wakapokonywa na wenyeviti...Mara nyingi wanataka uwafanyie usafi wa shamba zaidi..esp kwenye visiki!
Watu wanaoishi mijini afu hawatembei vijijini hawawezi kuelewa mishe Kama hizi nilienda kilombero Kijiji Cha utengule nikakuta watu wanapewa mapori bure Yani niuwezo wako tu wa kusafisha naukishalisafisha lazima ulilime au ujenge hata korogwe tanga Kuna Kijiji nilikuta Jambo Kama hili
 
Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.

Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.

Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.

Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.

Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.
Hahaa hiyo para ya mwisho daaahh !!!!!

Kutafuta pesa sio shida . shida nikuendelea kuzitunza ili ziendelee kubaki kwako miaka na miaka ... Hili kwa sisi wabongo wengi ni kisanga ..

Waweza kukuta Mtu alisota kweli kutafuta ..ila akishazipata sasa ni mwendo wa bata tu kwa kwenda mbele. Baada ya miaka miwili chali anafilisika
 
Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.

Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.

Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.

Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.

Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.

Nipo Makete hapa nyumbani, hakuna ardhi ya bure hapa hata robo moja. Tafuta hela uje tukuuzie! Usidanganye watu.
 
Watu wanaoishi mijini afu hawatembei vijijini hawawezi kuelewa mishe Kama hizi nilienda kilombero Kijiji Cha utengule nikakuta watu wanapewa mapori bure Yani niuwezo wako tu wa kusafisha naukishalisafisha lazima ulilime au ujenge hata korogwe tanga Kuna Kijiji nilikuta Jambo Kama hili
Hahaa utengule home sweet aisee

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Huko ndo hata hawakuulizi unakunywa soda gani, wanakuletea tu Coca Cola tena ya moto!! Kwenye shughuli yoyote hawakushirikishi..utasikia tu "Yule mdogo wako alishaoa, harusi ilikua wiki iliyopita"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko ndo hata hawakuulizi unakunywa soda gani, wanakuletea tu Coca Cola tena ya moto!! Kwenye shughuli yoyote hawakushirikishi..utasikia tu "Yule mdogo wako alishaoa, harusi ilikua wiki iliyopita"
Hizo ni dharau sana, maumivu unayaugulia mdogomdogo
 
Huruma sana.
Vipi kwenye kikao cha familia unaonekenaje?
Huko ndio vituko ..kwanza unaweza usishirikishwe kabisa na ukishirikishwa unaweza ukabaki msikilizaji mana unaweza usipate nafasi yakutoa hoja zako mana ukiongea unaonekana unaleta fujo
 
Diamond hana sura mbaya bana kihivyo , sema ukiwa na hela unazidi kupendeza na kunawili.
Huyo ndy really diamond sasa...elewa kama hauna pesa hyo siyo sura yako halisi..hakuna mtu mbaya,,,ni pesa tu
tapatalk_1592268046826.jpeg
 
Back
Top Bottom