Mkuu huo ni ugonjwa mbaya sana unanitakia, mpaka level ipi ambapo nitaonekana kweli sasa nina pesa?. kwa sababu Mwalimu wa s/msingi kijijini anaonekana tajiri sana, au Nurse wa zahanati ya kijiji, pia ukiwa na ng'ombe3 tu ni tajiri. ambapo kwa Bongo wewe ni bado fukara, na binadamu kikawaida kadri apatavyo ana sogea kuishi na wenzake wanao fanana, leo uko kijiji kesho uko mjini, mtondogo uko Ulaya, kote huku wewe unajiona huna pesa fukara, kumbuka kijijini ulikotoka wanatamani maisha yako uliyonayo.
Bhakresa akijichanganya na Matajiri wanao miliki visiwa, Mitaa, Ma- Bank, Mafuta huko Banana High land au UAE anaonekana fukara anacheza, wakati Bongo ndiyo Mtaji wa serikali.