Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

Hao ambao wanakuambia hayo maneno unakuta wao pia wana hela au ndo apeche alolo kama wewe ila wewe Mwenzetu imezidi, maisha haya ukiwa huna hela utaambiwa una korona 🤣🤣 ngoja ninywe zangu maji,
 
Nyeto haina shida mzee. Wanatutisha tu.

Nzuri ni ipi ile ya Kupigia na Sabuni za Mo au ya Kupigia na Mafuta ya Mgando? Ni matumaini kwa Ukongwe wako wa Kupiga Nyeto utanifafanulia.
 
Mwaka 2014 dumila waligawa mapori buree..Ile kulima msimu mmoja wakapokonywa na wenyeviti...Mara nyingi wanataka uwafanyie usafi wa shamba zaidi..esp kwenye visiki!
Yaani ukiwa huna hela wanakufanya watakavyo, hapo unageuzwa jembe la kukokota na ng'ombe kung'oa visiki, ukimaliza wanakuja wao kulima kwa raha mustarehe!
 
Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.

Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.

Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.

Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.

Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.
Naunga mkono hoja
 
Huko ndo hata hawakuulizi unakunywa soda gani, wanakuletea tu Coca Cola tena ya moto!! Kwenye shughuli yoyote hawakushirikishi..utasikia tu "Yule mdogo wako alishaoa, harusi ilikua wiki iliyopita"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] manina wazee tusake noti yaani unaonekana kam mbwa Koko hivi
 
Ukipata pesa ndipo pakuoa.
Utagongewa mke na supervisor wa hivi vikampuni vidogo. Anatongozwa anakataa mwishoni atafingua mapaja kwaajili ya njaa.
Ukiwa na pesa ukigongewa wife basi labda mkeo ni kahaba by natural au wewe ni hanithi
How stupid this fela is;

Hizi bangi umevutia chooni au uchochoroni?

HEBU TAFAKARI HILI
Nimetafuta hela nimepata, nikaamua kuoa wife wangu, majaaliwa ya Mungu au binadamu nikafilisika vp mke nampeleka kwa Mama yako? Kama kigezo cha kuoa ni pesa! Nani anagarantee ya kuendelea kuwa tajiri? Kama ilivyo hakuna mwenye guarantee ya kuendelea kuwa masikini milele. NOTHING LAST FOREVER KAKA.

HAKUNA MATAJIRI WANAOGONGEWA?
Diamond mwenyewe kakiri kwenye interview kwamba mzazi Mwenzie Zari alikua na uhusiano na Peter wa P quite na aliyekua gym trainer wake... Huwajui wanawake mdogo wangu, kamuulize habari za wanawake Bibi yako anaweza kukujalia japo mwangaza wa hawa wadudu.

MUNGU ANAWAZUNGUMZIAJE?
1. Wanawake wapendeni waume zunu nanyi waume ishini nao kwa akili wake zenu

2. Hakika Kama ilivyo mali, wake na watoto zenu ni mtihani kwenu

3. Vitimbi vya mwanamke ni Mara mbili ya vitimbi vya shetani

FEDHA NI MAKARATASI TU AMBAYO HAYANA USHAHIDI WOWOTE WA KUMRIDHISHA MWANAUME KATIKA MAPENZI.
 
Mgeni unapewa ardhi bure?? Humu mitandaoni watoto mnadanganyana sana!
mkuu sio lazima iwe bure lwa maana ya bure kabisa ila mwandishi kamaanisha unaweza ukapata ardhi kwa bei nafuu ambayo ni sawa na bure.

Mkuu mimi binafsi nilishafanya kama ukivyoshauri sasa kilichotokea mimi sina hili wala lile kumbe wanakijiji wananijadili kwenye vikao vyao eti mimi nimetumbuliwa huko mjini na magufuli hivyo nimekimbilia kijijini kulima.

Waja wanamambo sana.
 
"Piga nyet* siku ziende😁 kwanini usingetafta maneno mengine mkuušŸ˜‚
Hayo maneno ni maneno sahihi kabisa kuambiwa vijana walio nje ya mfumo rasmi.
Imagine kijana anaishi kwa ndugu zake hapa Dar huku akisubiri ajira au mtaji, mara demu wake Subira anamtext kuwa ni mjamzito unadhani nini kitampata huyo kijana kama si uchizi!
 
Haya maisha ni tofauti sana. Mbona mimi sina hela lkn na heshimiwa kupita kiasi. Watu wananiomba hela mimi wanataka kukaa kwangu na mimi kwa kweli sina hela. Wananisema najidai. Wachache mara nimefilisika eti prado langu niliuza i, nabakiga kucheka tu nikibisha siyo kweli wanasema eti naona aibu sasa. Kufilisika ni kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom