CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kinana si mkazi wa huko?Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji.
Mbeya sehemu gani? Mbona mi naishi Mbeya na sioni hao wahuni zaidi ya kuona vijana wakiwa busy na shughuli za maendeleo?Hao kelele tu na pikipiki,vichaa wako mbeya bwana,mbeya kuna vichaa na wanajielewa,wamepinda haswaaa hadi wazee
Wewe ndio familia chafuKwamba unatakasema we familia Bora ??
Ni ngumu kamanda wa polisi kubadilisha maadili ya vijana wa eneo hilo,juhudi zinatakiwa zianze kufanywa na wazazi wao.Kwa Arusha anahitajika kamanda na polisi wake makini sana, plus mahakimu wasiopepesa macho. Ukifika Arusha kwa muda mfupi ukae hotels utadhani ni mji poa. Mji unahitaji rehabilitation ya maana hasa kwa vijana. Things are getting out of control. Serikali iiangalie Arusha kwa jicho la pekee, the sooner the better. Nilipata task ya kukaa mwaka mmoja niliuchukia sana mji wa Arusha, unbearable, kuanzia traffic hygiene hadi udokozi majumbani na ile vijana kujiamlia mambo kinyume na utaratibu tena kwa mob, wakiamua huu mtaa tunaufunga wanaufunga. Makazi pia yamejengwa kiholela ni ngumu kutafuta makazi yenye ustaarabu entirely, lazima machalii wajichomeke kwenye kila settlement. I don't get this psychology ya kuentertain uhuni iliyopo miongoni mwa vijana Arusha!!.
[emoji23] mkuu hivi umetumia vigezo gani kuhitimisha kuwa mtu anayejua FUTUHI ni familia masikini?Wewe ndio familia chafu
Mtu anaejua FUHUTI ni familia masikini,ndio FACT,nothing to be ashamed of being poor,ni wazazi wako sio wewe!
Hilo ni tatizo la wazazi wako sio lako!
[emoji23] mkuu hivi umetumia vigezo gani kuhitimisha kuwa mtu anayejua FUTUHI ni familia masikini?
Huku watu wapooleeee chokoza uone motoo πLakini wakija Dzm Huwa wanatulia
Wako busy na kasheshe za mjiHuku watu wapooleeee chokoza uone motoo [emoji1]
Kabisa.! Hajakosea.[emoji16][emoji16] jamaa kama kasema kweli hivi..Β‘
ππππ€£π€£π€£πππππ₯π₯π₯π₯Kwa ambao hawaijui vizuri Arusha cheki hii videoView attachment 2708415
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Wanajifanyaga wapo sawa na LA ya marekani hahag. Hawa wasipewe bunduki tu aisee maana watakua wanasambaratisha raia vibaya saanaWanajikutaga hipapuView attachment 2709123
Eti wagumu kumbe njaa tuWanajifanyaga wapo sawa na LA ya marekani hahag. Hawa wasipewe bunduki tu aisee maana watakua wanasambaratisha raia vibaya saana
WatakutukanaEti wagumu kumbe njaa tu
Lini wamekuja kuomba pesa kwako au chakulaEti wagumu kumbe njaa tu