Kwa Arusha anahitajika kamanda na polisi wake makini sana, plus mahakimu wasiopepesa macho. Ukifika Arusha kwa muda mfupi ukae hotels utadhani ni mji poa. Mji unahitaji rehabilitation ya maana hasa kwa vijana. Things are getting out of control. Serikali iiangalie Arusha kwa jicho la pekee, the sooner the better. Nilipata task ya kukaa mwaka mmoja niliuchukia sana mji wa Arusha, unbearable, kuanzia traffic hygiene hadi udokozi majumbani na ile vijana kujiamlia mambo kinyume na utaratibu tena kwa mob, wakiamua huu mtaa tunaufunga wanaufunga. Makazi pia yamejengwa kiholela ni ngumu kutafuta makazi yenye ustaarabu entirely, lazima machalii wajichomeke kwenye kila settlement. I don't get this psychology ya kuentertain uhuni iliyopo miongoni mwa vijana Arusha!!.