Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Hata hao wachuga wakija huko kweni sijui bukoba,mwanza, dar...wataona mnawarushia tu!

Eti uchukue mmeru wa tengeru umpeleke nanjilinji huko ataona kakutanishwa na wehu
[emoji1787][emoji1787]

Kwanini wehu jombaa ?!!

Kwani huko Nanjilinji hakuna wachanja gombaa ?!!

Hakuna wanaokula "mjani" ?!! [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wanaohitaji counseling Ila ndio hivyo wengine kuwarudisha kwenye mstari mtiti utachezea beto
[emoji106]
Mhuni sio mtu....

Wakazi wa Dar...vingunguti wanayajua hayo....

Yaani umlee mtoto vingunguti na matumbi halafu uwe na asilimia 50 za kuwa atakuwa raia mwema ?!! Thubuutuuu [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2707633

Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji

Vijana wengi wahuni ni wazawa wa hapa hapa Arusha na matokeo ya kuukuta utamaduni wa kutukuza uhuni tangu wakiwa wadogo, imeshakuwa ndani ya mfumo wa maisha wa vijana wengi kwamba ili uonekane mjanja basi uwe mhuni wa kunywa pombe kali, kuvuta bangi ama uwe mhalifu.

mapikipiki haya ya wanakimbiza vibaya mno, ajali kila siku, wamejaa mount Meru na nkoaranga hospital wamevunjika vunjika miguu,.Bodaboda za kutaftia riziki wanalazimisha ziwe pikipiki za michezo, ukienda kwenye magroup yao haya ya kudandia pikipiki kuna "pumzika kwa amani / rip" nyingi sana.

vijana wanazidi kuutukuza ulevi wa hayo ma k-vant na bangi, sina shida na matumizi ya vilevi ila wao wanavitumia kupita kiasi.

Makundi ya vijana wengi ni magenge ya vijana wanaoishi bila future, wanafanya vingi bila kujali madhara wala kesho.

Suala la kupigana beto (visu) nalo halipo nyuma, Sime na visu vimekuwa vitu ambavyo vinazidi kuzoeleka kutumika kwenye wizi na mabifu ama ugomvi mitaani, nilikua naangalia clip moja hata msanii wa huko anauvuma kwa sasa Fidovato analalamika vijana wanapigana sana beto.

Wizi nao uljoambatana na kupigwa visu upo sana kuanzia wezi wa bodaboda, tatumzuka, majambazi, n.k.

Ajabu ni kwamba hata polisi ni kama vile wamefumbia jicho ama jitihada wanazofanya ni ndogo sana, ni kama vile wamezila na kujikatia tamaa wamewaacha wenye mji wafanye watachojua wao with little interference
Nipo zangu nimelala kuna mafala yanachezea pikipiki nje unaweza sema alshabab wamevamia hizo baruti
 
Sasa anza kusaga nao gomba watakuelewa na wewe upo kwenye system yao ukiweza wasogezee vichane kadhaa mchanje pamoja
Kuna watu wanafanya hizo mambo "in closets"...iwe shada ,iwe "nyama taksima" kwa kulinda haiba zao na nafasi walizopo....sasa wahuni wanadhani kila aliye na mavazi na mwonekano wa "kistaarabu" ni "mlokole" [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanafanya hizo mambo "in closets"...iwe shada ,iwe "nyama taksima" kwa kulinda haiba zao na nafasi walizopo....sasa wahuni wanadhani kila aliye na mavazi na mwonekano wa "kistaarabu" ni "mlokole" [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yes true kabisa ndio nakwambia ajimix nao tu aone km hawajaanza kumpa salamu zake
 
Back
Top Bottom