vijana wa Arusha wanapigana kwa visu. Wanaume tunazichapa kavu na maisha yanaendelea

vijana wa Arusha wanapigana kwa visu. Wanaume tunazichapa kavu na maisha yanaendelea

Njaa Tu za kijinga zenye uhuni mavi ndani yake!! Njaa na stimu za vilevi wapi na Wapi??
 
Itabidi kutoa somo jinsi ya kupigana na mtu mwenye kisu au panga.
Na vita hiyo iishe mara tu atakapo kua attack. Atazima na hatakuwa na macho. Fasta sana
 
Ni miendelezo wa matukio ya vijana kupigana kwa visu badala ya kuzichapa kavu.

ARUSHA ifike mahali tunapogombana na kushindwa kujizuia hasira zetu, basi zipigwe kavu, Huu mtindo wa kukimbilia kupigana visu sio kabisa, ni ushamba. Pumzika kwa amani Bennyrick Lamar (pichani kapakizwa kwenye pikipiki baada ya kupigwa kisu)

Mbaya zaidi ni hata vijana wastaarabu wanapigwa visu, kuna vijana wa Arusha wanapenda sana ugomvi hata wa kuutafuta ilimradi tu kuwe na ugomvi, ukijitete unaweza pigwa kisu, hata Marehemu Faza Nelly alikuwa ni mwanamziki wa huko alisifika kea ustaarab wake kuishi vizuri na watu lakini kitendo cha kutaka kusuluhisha ugomvi wa majirani akapigwa kisu na kufariki.

View attachment 2807797
Bangi/Unga/pombe za ajabu ndo matokeo ya haya
 
Ndio aache uhuni. Kwani unafikiri mtu anatobolewa hivi hivi? Lazima kuna circumstances zinazopelekea?
Kwa Arusha utadanganya wakuja chalii, kwa kifupi raia wengi wanatembea na mapanga, visu kwenye gari au bike zao.

Yaani wengi wa raia hawajiamini ninkwa sababu ya aina ya maisha watu wanayoishi, pia walio wengi Ke/Me ni wabishi na wagomvi that's!, yaani aru
sha kila mtu mjuaji na mbabe aseee!.
 
Chuga kupgana mabeto ni k2 cha kawaida hadi kuna baadhi yamaeneo wameweka vibao vya kisu af kimewekewa mstar kumaanisha io sehem hairuhusiw kuwa na beto(kisu)
 
Akuna shujaa alie hai hiv ukikimbia Kuna mtu atakuuliza
 
Arusha ni mkoa wenye vijana wa hovyo wengi.
 
Mm mwenyewe nikitoka Nairobi nimechoka naenda kupumzika Moshi ila Arusha ni sehemu ya kisengera sana visu njenjee.
 
Vijana Arusha wameharibika Sana Kwa sasa ni kama wote tuu ni wahuni sijui nn kimewapata Wameru hawa na waa Arusha
 
Pana sigala moja Chuga ni ya majani naona watu wengi wanaivuta hadi maustaadhi bhana wanasema eti ni dawa sijui walidanganywa inaongeza nguvu za kiume basi daah wahuni wanaivamia balaa...
 
Imagine una mtoto moja kisha anachomwa kisu kwenye ugomvi wa kawaida ambao ungemalizika kwa kuzichapa kavu, utajisikiaje kama baba ?

tuweke visu chini tuzichape kavu

mimi kama mzazi nitamuwekea kisasi ya kuniulia mwanangu nitakuja kumuua bila kujulikana nitampiga kama vile GAZA Anavyowapiga wayahudi
 
Arusha napo sehemu ya kuishi watu wote bangi na pombe tu mdah wote yaani Arusha sijawai kupaelewa
 
Asili ya kasikazini mpaka mkoa wa Mara hua ni ubabe na ubaya, ukiwa mwema hapakufai na kama hauko tiyari kujifyatua akili mara tano yao huko hapakufai pia.
 
Back
Top Bottom