Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hata kavu ukitaka zinachapwa sana na bado utakimbia au utakuwa hoi bin taabaniImagine una mtoto moja kisha anachomwa kisu kwenye ugomvi wa kawaida ambao ungemalizika kwa kuzichapa kavu, utajisikiaje kama baba ?
tuweke visu chini tuzichape kavu