Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

Hapo walinzi wa rais wanamtia hofu ili waongezewe budget ya kumlinda chifu Hangaya
Mazuzu kama nyie mlipokuwa mnaona ulinzi kama huo kwa Magu mkawa mnasema ni udikteta!

Utaahira kazi sana
 
Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .

jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
Ushamba tu unawasumbua, kama kuna hatari , .............. nimeshindwa kumalizia
 
muacheni alindwe jmn,ili amalize 4 yake salama ,salmini!!
 
Wewe umechelewa kujua tuu toka zamani ulinzi wa Samia ni kama wa Magufuli sema humu huwa kuna ugonjwa wa kufata mkumbo
 
Mazuzu yalikuwa yakiongea hovyo kuhusu Ulinzi wa JPM ajabu Ulinzi wa Samia ni zaidi ya wa JPM na yamejikausha kama hayaoni!
Mkuu, hakuna watu nawadharau kama wana chadema kwa sasa!

Yani toka ile 2015 walipomfanya gwajima kuwa mshenga wao wa kumleta EL chamani na baadae wakamfanya Amsterdam kuwa mwanamikakati wa kumpleka Lisu ikulu, hata nikiona mshati yao tu naona kama nimeona mijusi tu
 
una lengo gani na Rais? kwanini unahoji juu ya ulinzi wake?
 
Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .

jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
Kwenye nchi ya amani kama Tanzania,tena Rais tunaeambiwa anapendwa na wananchi wake, hayo ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Wewe umechelewa kujua tuu toka zamani ulinzi wa Samia ni kama wa Magufuli sema humu huwa kuna ugonjwa wa kufata mkumbo
Mabavicha yana ugonjwa wa ukosefu wa akili!

Yanafikiri rais anajipangia yeye ulinzi.

Yani hata Lisu alikuwa na akili kama hizi
 
Wewe ni mpuuzi, kila MTU Twitter ni CHADEMA? pumbavu
 
Kwa hiyo na wewe ulikuwa mjinga kama kina mmawia?

Ulinzi anajipangia rais?
 
Mabavicha yana ugonjwa wa ukosefu wa akili!

Yanafikiri rais anajipangia yeye ulinzi.

Yani hata Lisu alikuwa na akili kama hizi
Ona mpuuzi mwingine huyu naye, Sabaya kesho anapanda jukwaani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…