Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais,

mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu,

wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema,

yani Chilema msafara wake ukiwa na gari 10 na wa mama samia iwe hvyo hvyo

huu ni upumbavu

mwenyekiti wa Chama kaokota wapi watu wenye akili ndogo namna hii?

Jeshi na Tiss wanawajibu wa kuhakikisha Taasisi ya uRais inalindwa kwa kadri watakavyoona inafaa

kinacholindwa hapo ni Taaisisi ya Urais maana yake hata samia akitoka kwenye hicho kiti hatalindwa tena hvyo

mmeniudhi sana kwa vi mada uchwara vya kijinga,

tena huo ni msafara na ulinzi mdogo kwa Rais Tiss ongezeni zaidi kwa kadri itakavyofaa

muda si mrefu mtaona wale wadada wanafungua twitter space kujadili msafara wa Rais

mlitaka mlindwe nyie na familia zenu?

asietaka akanywe sumu ya panya

Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais,

mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu,

wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema,

yani Chilema msafara wake ukiwa na gari 10 na wa mama samia iwe hvyo hvyo

huu ni upumbavu

mwenyekiti wa Chama kaokota wapi watu wenye akili ndogo namna hii?

Jeshi na Tiss wanawajibu wa kuhakikisha Taasisi ya uRais inalindwa kwa kadri watakavyoona inafaa

kinacholindwa hapo ni Taaisisi ya Urais maana yake hata samia akitoka kwenye hicho kiti hatalindwa tena hvyo

mmeniudhi sana kwa vi mada uchwara vya kijinga,

tena huo ni msafara na ulinzi mdogo kwa Rais Tiss ongezeni zaidi kwa kadri itakavyofaa

mlitaka mlindwe nyie na familia zenu?

asietaka akanywe sumu ya panya

Kwani wewe hujui binaadamu akiacha kutumia akili yake kufikiri na kuchanganua mambo hata mawe yapo tayari kumsaidia🏋️.
 
Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais,

mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu,

wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema,

yani Chilema msafara wake ukiwa na gari 10 na wa mama samia iwe hvyo hvyo

huu ni upumbavu

mwenyekiti wa Chama kaokota wapi watu wenye akili ndogo namna hii?

Jeshi na Tiss wanawajibu wa kuhakikisha Taasisi ya uRais inalindwa kwa kadri watakavyoona inafaa

kinacholindwa hapo ni Taaisisi ya Urais maana yake hata samia akitoka kwenye hicho kiti hatalindwa tena hvyo

mmeniudhi sana kwa vi mada uchwara vya kijinga,

tena huo ni msafara na ulinzi mdogo kwa Rais Tiss ongezeni zaidi kwa kadri itakavyofaa

mlitaka mlindwe nyie na familia zenu?

asietaka akanywe sumu ya panya

Siasa ni ushindani nia ikiwa kumhudumia mwenye nchi.

Siku ukiritimba katika ushindani utapoondolewa kwenye siasa kama ilivyo sokoni Tanzania kutanoga.

Mengine haya mnatuchosha tu, kwani hamjui?

Hampendwi!
 
Hata mimi nimeshangaa, nilijua mambo ya chopa yameondoka na mwendazake kumbe bado yapo, na huo msafara wa magari yote hayo wa kazi gani kwenye taifa masikini kama letu?

Naona kila awamu inarudia makosa yaleyale, ngumu sana kupiga hatua za maendeleo, na yule kichaa wa twitter ana support huo msafara wa Samia amesahau juzi tu alikuwa akiupinga msafara wa mwendazake.
 
Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 .

jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
102 vehicles? All SUV !?[emoji15][emoji15][emoji15] plus 3 hedkoptaz!
 
Ushauri wa Dr Tax kwa mama una tick!!the honeymoon is over!!!!RIP E. KWANDIKWA!!
NILISOMA HUMU KUA KANDA YA ZIWA WANATAKA KULIPA KISASI!!WAKIHISI MWENDAZAKE KAHUJUMIWA!JE NDIO SABABU???
 
Back
Top Bottom