Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Na unakuta wanasapotiwa na wazazi wao kwa tabia wanazozifanya.
wakiwa mash**g wazazi msilalamike kwani nyie pia ni chanzo.
 
Kila mtu afanye anavojisikia pasipo kuvunja aman ya mwingne.
 
Kuna wakati kuwa mjanja, ndio huwa ujinga wenyewe
 
Mwanaume anavaa kaptura?mwanaume wa kweli anavaa kigome au kiongozi...Makhirikhiri wale Ndio wanaume sasa
 
Hawaheshimu wakubwa
Wanavaa kama kwao hakuna wakubwa,
Wamewadharau wazazi .

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Rudi kwenu mkuu waache vijana wa dar es Salaam
 
Wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni mabwabwa
 
Wewe fanya kilichokupeleka, fanya yako, fuata maisha yako, hangaika na yako, neng'eneka na yako, ukifata ya watu utakufa mapema. Ushauri kutoka mbarali
Ushauri wako ni mwema sana ila nakushauri ujikite zaidi kwenye kilimo cha Mpunga na Viazi tusije tukalala njaa kama taifa.

watu wa Mbeya hampaswi kuwa mitandaoni
 
Wewe fanya kilichokupeleka, fanya yako, fuata maisha yako, hangaika na yako, neng'eneka na yako, ukifata ya watu utakufa mapema. Ushauri kutoka mbarali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…