Wakristo talaka inaruhusiwa piaNadhani hujafikiria Wala hujataka hata kutumia akili za kawaida kwa suala kama Hili.
Vijana wa kiislam inakuwa rahisi kwa kuwa kwanza ndoa sio gharama, lakini pia kuna option ya talaka wakishindwana.
Wakati vijana wa kikristo kwanza gharama ni kubwa ya ndoa/harusi, halafu ni hadi kifo kiwatenganishe.
Kwa hiyo inahitaji mwanaume aamue chaguo sahihi, pia ajipange kukamisha Hilo zoezi.
Na wao wanaachana/tengana ila sio kama waislamu
Process yake inaweza kukuchukua miaka mitano.Wakristo talaka inaruhusiwa pia
Nasikia upande mwingine hata mkeo akigawa mbususu mtaani inabidi tu ufe nae!Muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Labda kama mmoja ni msumbufuProcess yake inaweza kukuchukua miaka mitano.
Ndoa za kikristo mbona wanandoa wanaweza kuachana vizuri tu. Sheria ya ndoa ya TZ imeainisha several reasons zinawezo weza kufanya mpeane talaka kama uzinzi, ukatili,mwezi kua na kichaa kisichopona etc. Hakuna mkisto analazimishwa kukaa kwenye ndoa ikiwa ndoa yake inamatatizo kama hayo kwa mujibu wa Sheria.Mkuu kwa mujibu wa maandiko wanandoa wakristo hakuna kuachana isipokua tu kutengana kwa sababu za uzinzi/kuchepuka tu... na hapo pamoja na kwamba mmetengana huruhusiwi kutoka na mtu mwingine au kuoa mwingine. Condition ya kuoa mwingine ni pale tu mwenzako atakapofariki, basi. Ni hatare sana upande wa christian... Na ndio mana kuna kile kiapo cha ndoa kuwa ' hadi pale kifo kitakapotutenganisha' ...
Tatizo imani.Mkuu kwa mujibu wa maandiko wanandoa wakristo hakuna kuachana isipokua tu kutengana kwa sababu za uzinzi/kuchepuka tu... na hapo pamoja na kwamba mmetengana huruhusiwi kutoka na mtu mwingine au kuoa mwingine. Condition ya kuoa mwingine ni pale tu mwenzako atakapofariki, basi. Ni hatare sana upande wa christian... Na ndio mana kuna kile kiapo cha ndoa kuwa ' hadi pale kifo kitakapotutenganisha' ...
Hapo umeongelea sherehe ya ndoa ila sio miiko ya ndoa kama nilivyoelezeaMarafiki zangu wengi hawaja divorce ni miaka kama minne hivi, wakristo gharama tatizo zinawaangusha na process NJ ndefu sijui fungate, sendoff hata Kwa bible havipo.
Labda wakristo wa vijijini
Ngumu kaka mimi bi mkubwa alikuwa kwenye kamati hizi za usuluhishi wa mambo ya ndoa.Labda kama mmoja ni msumbufu
Ngumu kaka mimi bi mkubwa alikuwa kwenye kamati hizi za usuluhishi wa mambo ya ndoa.
Ok sorry mrembo.Mi ni dada
Fanya mambo bana kwan lazima vigelegele? Chukua kimyakimya ikugharimu mahari tuMambo magumu...
Wanakwepa uwajibikaji tuWanajiendekeza tu, mbona wanaishi na mabinti miaka nenda rudi kuoa kinawashinda nini?? Hizo gharama sio lazima ni kuiga tu
Oa kijana, hasira za nini ?Ndoa si suala la dini bali utashi wa mtu mradi wahusika wawe wana uwezo wa kuingia kwenye taasisi hii. Tumia akili japo kidogo kabla sijakushushia mitusi nipapigwa ban. Na kipindi hiki ikitokea nikapigwa ban naachana na ujinga wa wa hii forums ya kujifanya wao ndiyo wenye hati milki ya fikra. Kwani silipwi kushiriki. Shame on moderator. Ngoja nilikoroge ili nipate kuachana ujinga huu
Kwani ndoa ni gharama? Ndoa ni ibada ya Mungu katika Uislamu na ameweka masharti yake ili ikubalike.Muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.