Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

Baadhi ya sababu ni hizi;
1. Kwa waislamu kuachana ni rahisi sana... unaweza ukaoa saa 1 lakini saa 2 ukaacha, tena kwa talaka

2. Kwa wakristo, ukishafunga ndoa, kuachana ni process ndefu na ina kila dalili za kukufanya usiache.

3. Kwa waislamu, ndoa ni kama jambo la wawili wanaofunga ndoa.. lakini kwa wakristo, ndoa ni jambo la familia mbili. Hivyo mtu lazima awake kwa kina

4. Wakati wa kufunga ndoa, wakristo husema... MPAKA KIFO KITAKAPO TUTENGANISHA... lakini kwa waislamu hawahusishi kifo na ndoa... wao wanasema ikibidi kuachana basi tuachane kwa amani.. SASA MAHALA PENYE AMANI, KUACHANA KUNATOKA WAPI..!!???
 
Kasi ya kutengana na kufa kwa ndoa ni ile ile haina cha muislamu au mkristu, chagamoto za ndoa ni zile zile, isipo kua wanawake wa kiislamu wanapenda na kuheshimu sanaa ndoa zao ukilinganisha na wa kuristu
Wanawake wa kiislamu wengi wanaolewa kwa upendo thabiti na sio show offs. Ndio maana wanajua kuzishughulikia ndoa zao vizuri mno ila wakristo wengi kwanza influencers wa ndoa ni wanawake na lengo kuu hasa huwa show off kwa mashosti zao.

Wanaolewa kwa fantasy ila sio kwa kuwa tayari wameamua kuyakabili maisha ya ndoa.
 
Sema after 4 years inavunjwa tu yani ndio utaratibu!
 
Hahahahah sema uislamu ni raha sana.
 
Watoto wa kigalatia kwao ndoa kama ajira ya serikalini vile. Anajua hata akitegea hafukuzwi kazi 😂
 
Waislam hawasomeshi watoto sana. Mkristo kabla hujaoa unawaza watoto wanatakiwa wafike chuo kikuu hawa.

Hii ni sababu namba 70
Waislamu wenye kipato Cha chini hao na Mila potofu, it is the same na wakristo kipato Cha chini nao watoto wao wanapita njia hiyo hiyo, hakuna mtu ambaye kwa sasa hahitaji kumuelimisha mtoto wake vizuri.

Angalia waislamu wenye uwezo wa kifedha watoto wao wanasoma kwa kiwango gani.

Sent from my TECNO AB7 using JamiiForums mobile app
 
Ukioa bomani ni cheap zaidi ya hiyo.

Sent from my TECNO AB7 using JamiiForums mobile app
 
Vp waislamu wa Kilimanjaro unawasemeaje hapo, au waislamu wa dsm au Mwanza. Unadhani mikoa hiyo hawasomi Sana kutokana na uislamu wao?

Hebu jaribu kufanya utafiti vizuri katika mikoa hiyo uone kama ni Mila na destruri za huko au uislamu ndio unasababisha elimu iwe chini huko.

Sent from my TECNO AB7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kukusahihisha padogo waislamu mahari anataja mwanamke sio wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…