Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.

Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.

Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached na kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke.

Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.

Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzi nimepiga zinanitisha sana, kiufupi nimekosa mwanamke anayefit maono yangu. Kwa Sasa nipo njiapanda niuze uhuru wangu, nichukue yoyote au nibaki hivi
 
Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.

Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.

Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke. Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzil nimepiga zinanitisha sana
Ingia escort Tz huenda ukaambulia chochote kitu.
 
Mzee baba kwani si umeoa wewe?

Screenshot_20260717_213113.jpg
 
Ulichotaka kueleza umekimaliza?
 
Ushafeli hapo, wakati una NJAA pale ndio ungepata mkweli, sasahivi hapo mtu anakuja kwasababu hela ipo
Hamna ajipange.tu ila azingatie umri, sadio mane kaoa kademu kadogo sana kalikua na miaka 16 hako kanakua kadogo sana, hata kakikukuta na hela walau, kuliko uparamie mashangazi utajua hujui
 
Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Wewe ni baba wa watoto wa 3 ila single mother hutaki hujioni kama ni mbinafsi sana ?
Kwanini usioe huyo au hao uliowazalisha kuliko kutafuta mwanamke mpya
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Hongera sana kwa kutimiza ndoto zako
Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke. Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa
kwa maandishi haya wewe ni mchafu ambaye umechovya kila aina ya K zenye UTI mpka zenye Gono
Ajabu unafuta malaika OMG 🤣🤣
, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Kama wewe ni single father tafuta msalaba wako mmoja ujitwishe
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzil nimepiga zinanitisha sana
Wewe kusafiri na kwenda kongo au kutafuta mtandaoni hakutokufanya upate mke mwema au bora

Anza wewe mwenyewe kubadilika na utubu kuchezea watoto wa watu kwa kuona ni sifa kama ulivyoandika hapo

Tulia kwanza ujipe amani ukitafuta kwa presha utakutana na mazito

Anyway kila la kheri mkuu kipindi hiki na hili baridi inafaa uwe na babe aliyonyooka sio kahaba wa aftatu
 
Back
Top Bottom