Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Watu mkiwa na vi bundle vya kuunga unga vya laki na ushee basi mnajiandikia chochote kile.hata hivyo hakunaga walimu walio tulia au wafanya kazi wa umma.
Watu mkiwa na vi bundle vya kuunga unga vya laki na ushee basi mnajiandikia chochote kile.hata hivyo hakunaga walimu walio tulia au wafanya kazi wa umma.
Anafanya ibada na ni mchamungu huku mnadunguana? Okay Haina shida utakuja kushtuka tayari kumesha pambazuka 😂😂😂😂MI NADHANI UNAPANIC TU BRO, UNA KAZI NI WEWE TU,MI PIA NI MIJANA EARLY 30 NA NILIKUA MGUMU SANA KUOA KAMA WEWE, ILA NIMEWAZA NA KUBAINI NDOA NI MUHIMU JAPO IKAWA MABINTI NAODATE NAO WENGI SINGLE MAZA NA MSIMAMO WANGU WA MIAKA YOTE KUTOKUOA SINGLE MAZA YAANI NIMEWAMWAGA WENGI SANA ILA ALHAMDULLH, NIMEPATA MSICHANA MNYENYEKEVU ANASALI SANA KAKULIA KWENYE DINI, JAPO MI SI MTU WA DINI SANA, NIMEMPIMA NA KWA AWALI NAONA ANAFAA,HANA MTOTO PIA KANAJITUMA ISHU NDO VILE KANATAKA NIKAJITAMBULISHE KWAO NA HUU NDIO MZIKI UNAONISUMBUA SABABU KIPATO CHANGU SIO KIVILE KIASI NIPATE PESA YA UKWENI KWA KUANZIA ILA BINTI HANA NOMA KAJIWEKA KWANGU.
Mbona unakuwa hvy mrembo si uende ukajue anakuitia Nini. Alafu isiwe hvy bana. Kwanza unavyoandika tu unaonekana wewe ni nyota yaani mzuri kama umeumbwa Kwa asali ilio changamana na maziwa.Siji