Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Daladala tenaPanda daladala za Simu afu 2 kwenda Mbezi Louis, waambie wakushushe kitambaa cheusi
Daladala tenaPanda daladala za Simu afu 2 kwenda Mbezi Louis, waambie wakushushe kitambaa cheusi
Nakuacha hoi na nini kwa mfano?😃Hapo ndipo unaponiachaga hoi😂
My g remember! Tuliko toka au unataka nianze mashairi upya
Yaani sijui niseme tu maana I can see behind your actions.Nakuacha hoi na nini kwa mfano?😃
OkayYaani sijui niseme tu maana I can see behind your actions.
Hujazoea daladala mwanetu?Daladala tena
So what is your direct answer unakuja huji? Au na OK nalo ni jibu? 😂Okay
Naogopaa😫Hujazoea daladala mwanetu?
Matajiri wa Katoro mna mambo.Naogopaa😫
SijiSo what is your direct answer unakuja huji? Au na OK nalo ni jibu? 😂
Ndivyo ilivyo! Hata nauli ya daladala sina ila nikitembea naungua jua😝Matajiri wa Katoro mna mambo.
Kuna tajiri mmoja anamiliki Mazda Verisa, ila cha ajabu hana uhakika wa pesa ya kula , sasa siku hiyo akawa anaomba nimpige tafu halafu ananiyeomba nimpige tafua ananiita bahili kisa natumia usafiri wa daladala.
Pole. Ngoja nikuuitie bolt chap.Ndivyo ilivyo! Hata nauli ya daladala sina ila nikitembea naungua jua😝
You know that I have changed my g si ndio?Siji
Bye 👋You know that I have changed my g si ndio?
Ila unajua nini you are right, ego always wins. Sasa ulikuwa wapi kusema toka siku ile?
Kabisa😊Pole. Ngoja nikuuitie bolt chap.
Dm me your number plsKabisa😊
Bolt na number vinahusianaje sasaDm me your number pls
Tell people directly how you feel about them sio kuwa kama kinyongaBye 👋
Noted 🙏Tell people directly how you feel about them sio kuwa kama kinyonga
Nakuja.Bolt na number vinahusianaje sasa