Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Ah alafu nyie bwana mlisha enjoy weee mbunyeee za warembo ndio mnataka kutushauri mambo ya kuoa mapema....wacha na siee tushenyentw mbususu alafu huo upweke tutauona.

Bwana wanawake wakuoa wapo wacha he sana na ukweli ni kwamba aio wanawake ata wanaume husband material wa hache. Kikubwa wakuu ni kwamba sifa kuu ya kuwa mume na mke wengi wetu hatuna, so in short tuendelee kudingana tuzalishane alafu kila mtu akae kwake tusioeane stress
Daaah! Kizazi kinachotengenezwa hapo ni bonge la bomu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Imagine unawekaje future ya watoto wako juu ya mikono ya mwanamke unayedai ni "mjinga"? Na hapo sio mmoja!!

Ikiwa ana akili sana alishindaa vipi kuchagua mama bora wa watoto wake?
Kifupi huyu mtoa mada yeye ndiye mjinga ila ni vile tu ameamua kuwabebesha zigo la kinyeshi hao wanawake ili yeye aonekane msafi.

Maana hii story ni ya upande mmoja sana, bahati mbaya ameshindwa kuipamba vizuri.
 
Ukiwa na hela mambo ni mawili, aidha uoe mtoto mdogo sana ambaye hajui maisha ili umfundishe maisha akiwa anakuzalia watoto tayari.
 
Sasa wewe umetengeneza single mothers halafu unataka uoe asiye single mother kweli! Kwanza ushaleta matatizo Kwa wanao Kwa kufikili kuwahudumia Kila kitu ndio malezi mkuu umefail.
Alitakiwa Akawaoe Wale Single Mom
Aache Ujanja
 
MI NADHANI UNAPANIC TU BRO, UNA KAZI NI WEWE TU,MI PIA NI MIJANA EARLY 30 NA NILIKUA MGUMU SANA KUOA KAMA WEWE, ILA NIMEWAZA NA KUBAINI NDOA NI MUHIMU JAPO IKAWA MABINTI NAODATE NAO WENGI SINGLE MAZA NA MSIMAMO WANGU WA MIAKA YOTE KUTOKUOA SINGLE MAZA YAANI NIMEWAMWAGA WENGI SANA ILA ALHAMDULLH, NIMEPATA MSICHANA MNYENYEKEVU ANASALI SANA KAKULIA KWENYE DINI, JAPO MI SI MTU WA DINI SANA, NIMEMPIMA NA KWA AWALI NAONA ANAFAA,HANA MTOTO PIA KANAJITUMA ISHU NDO VILE KANATAKA NIKAJITAMBULISHE KWAO NA HUU NDIO MZIKI UNAONISUMBUA SABABU KIPATO CHANGU SIO KIVILE KIASI NIPATE PESA YA UKWENI KWA KUANZIA ILA BINTI HANA NOMA KAJIWEKA KWANGU.
 
Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.

Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.

Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached na kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke.

Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.

Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzi nimepiga zinanitisha sana, kiufupi nimekosa mwanamke anayefit maono yangu. Kwa Sasa nipo njiapanda niuze uhuru wangu, nichukue yoyote au nibaki hivi
huu uzi baada ya kuhamasisha ndoa ndo unahamasisha kataa ndoa kushikilia msimamo wao dhidi ya ndoa hongera kijana
 
Back
Top Bottom