Huyu tuliishi kimjini mjini baada ya kupata naye mtoto WA pili , haikuwa ndoa nikaona azabu anayonipa tuachane tu na ikawa hivo, niliongeza mtoto na mwanamke mwingine aiseee Bora yule wa kwanza , ana lugha ngumu na kelele kuliko kawaida, now na suffer na upweke
Sasa wewe umetengeneza single mothers halafu unataka uoe asiye single mother kweli! Kwanza ushaleta matatizo Kwa wanao Kwa kufikili kuwahudumia Kila kitu ndio malezi mkuu umefail.Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke. Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzil nimepiga zinanitisha sana
Watu mna siri sana, ngoja nikaone yaliyomo!![]()
Washikaji Warembo wa Kimahaba Tanzania | Exotic Escorts Tz
Tanzania Escorts kwenye Exotic TZ. Angalia washikaji kutoka maeneo mbalimbali Tanzania, pamoja na new escorts, VIP, Premium na escort videos.www.exotic-tz.net
Umepiga kwenye mshono kabisakwa maandishi haya wewe ni mchafu ambaye umechovya kila aina ya K zenye UTI mpka zenye Gono
Ajabu unafuta malaika OMG 🤣🤣
Toa location kabisaSinza Kitambaa cheusi
Nyoooh!Mbona pm sijaona au Kuna shida na app ya jf
Hemb ngoja, USIWAZENyoooh!
Hao wanawake wote aliochafua huko nyuma anakuachia wewe? Arudi akacollect mess zake bana!Wakat sahihi ni sasa.
Ukisubiri zaid Miaka michache ijayo ndio utateseka zaidi maana sio tu utakutana na Single mother. Bali utakutana na Wanawake ambao wana wajukuu na ww uitwe babu na miaka yako 45.
Umejipigia wanawake weng including na wake za watu. Ila sio wake za watu wote wako hivyo. Hao umejipigia ni wale wanalipiza visas kwa waume zao baada ya kugundua usaliti pia ndan ya ndoa zao.
Ila Niamini. Wako wake za watu wana jiheshim na hawana mambo meng kwenye ndoa zao.
Tafuta mwanamke Bikra, age 21-25, anayesoma Chuo au amemaliza, na ambaye unahisi ana akili, namna gan utampata ndio chemsha bongo yako.
au kama sio Bikra tafuta wa age hiyo na ambaye Hana mtoto.
Wanawake ukiwaonyesha mapenz , uwe mkweli na Kuwajali ni waaminifu kwenye mahusiano.
NB: umetembea na wanafunz😣😣😣. Hao wanafunz wakikua ndio mabomu mengne umetengenezea jamiii. Hao washaonja Uboo, washakuwa wajanja , ndio hizi single mothes unazokutana nazo na zenyewe zilikuwa zinatembea na wanaume angal bado wanafunzi.
Mwanamke akiwa anasoma anatakiwa asijihusishe na mapenz.
Uongo tokaaa!Hemb ngoja, USIWAZE
😃 Kwahiyo siaminiki tenaUongo tokaaa!
Hao wanawake wote aliochafua huko nyuma anakuachia wewe? Arudi akacollect mess zake bana!
Na hii inamuelezea yeye zaidi kuliko hao wanawake.Pole sana kwa kuzaa na wanawake wajinga Mkuu.
Aah imegeuka deni sasa sitaeza🫢😃 Kwahiyo siaminiki tena
Ntakushangaza we si usijali tuliaAah imegeuka deni sasa sitaeza🫢
Ndio matokeo ya Timu yako ya kataa ndoa.Na hii inamuelezea yeye zaidi kuliko hao wanawake.
Huenda hawajaolewa pia kwasababu ya kuwa na watoto!Hao sasahivi kuna Wanaume wengne wako nao. Na wao wanalalamika kwa wanaume zao kuwa wamezaa na Mwanaume Mwalimu ila ni mjinga hana akili 😂😂😂😂😂.
Kujitafutia tu laana!Asifikiri kutembea na wake za watu na kusikia wanalalamikia wanaume zao akajua na yeye halalamikiwi huko nje.
Yani mwanaume hata awe malaya vipi ila kutembea na wanafunzi ni udhaifu mkubwa sana! Yani anaweza hata kulala na wanae huyo!ila Jamaa ni mchenz. Anatembea had na wanafunzi. 😣😣😣😣
Au sio, basi sawaaa😐Ntakushangaza we si usijali tulia