Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Kwa sasa umri wako sio umri wakua mpweke, na kama ulivyosema, kua unataka kuoa lakini huoni yupi anafaa mana unaona wote ni walewale, na inaonekana pia rafu ulizocheza zilikua nyingi kwa aina tofauti. Cha KUFANYA amini uliyoyafanya sio sawa (fanya toba) kisha fanya dua mungu akupe yule ambae unahisi hatokua katika njia mbaya ambayo unaihofia.
 
Back
Top Bottom