Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Unamaanisha nini kusema "timu yako"?Ndio matokeo ya Timu yako ya kataa ndoa.
Wanalinda vibunda wenzio🤣🤣🤣Kataa ndoa wakifika 45 yrs . Haya aliyosema mtoa mada ni machache sana 😊😊😊😊.
Unamaanisha nini kusema "timu yako"?Ndio matokeo ya Timu yako ya kataa ndoa.
Wanalinda vibunda wenzio🤣🤣🤣Kataa ndoa wakifika 45 yrs . Haya aliyosema mtoa mada ni machache sana 😊😊😊😊.
Ni kweli kuwa na mtoto alaf ukutane na Mwanaume na akuoe ni kipengele . Kawaharibia tu maisha wadada wa watu.Huenda hawajaolewa pia kwasababu ya kuwa na watoto!
Kujitafutia tu laana!
Yani mwanaume hata awe malaya vipi ila kutembea na wanafunzi ni udhaifu mkubwa sana! Yani anaweza hata kulala na wanae huyo!
Kwa alivyo mchafu hata akimpata huyo bikra unayempa hatokaa akatulia atamleta gono na syphilis tu! Ajipange..
Changamoto iliyonayo kwa sasa ni kupata mwanamke sahihi wa kuweza kuhudumia familia yako yaani hao watoto wako.wanawake wengi hawapendi kuhudumia watoto ambao siyo wake. Mtihani mwingine endapo utaoa na kuzaa watoto ujue hao uliozaa nao ndoa watakaopendwa zaidi na kupewa kipaumbele katika kila jambo.Hapo utakuwa na familia iliyopata fanyika.Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke. Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzil nimepiga zinanitisha sana
Maisha sio magumu kama vile tunavyoamini 🤣🤣🤣Watu mna siri sana, ngoja nikaone yaliyomo!
Ah alafu nyie bwana mlisha enjoy weee mbunyeee za warembo ndio mnataka kutushauri mambo ya kuoa mapema....wacha na siee tushenyentw mbususu alafu huo upweke tutauona.Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke. Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzil nimepiga zinanitisha sana
Ww si utateteaga Team Kataa ndoa 😊😊😊.Unamaanisha nini kusema "timu yako"?
Naona wana wasiwasi kuwa wakioa alaf wakiachana watagawana mali.Wanalinda vibunda wenzio🤣🤣🤣
Gender zote hovyo kabisa....hakuna husband material wa wife material wote ni ngonorizing material tuuIla wanaume mnajichukulia utukufu sana malaika nyie. Wanawake this, wanawake that. Mkishafanya umalaya na ufuska wenu mkavuruga kila kitu basi escape boat ya maujinga yenu ni wanawake.
Basi sawa, ngoja movie iendelee.
Adui yake ni yeye mwenyewe, ila akili za kulitambua hilo ndio hana.Yaani uzae na mwanamke wa kwanza awe mjinga umuache uzae na wa pili awe mjinga umuache uzae na wa tatu awe mjinga hapo mjinga ni nani unahisi??
Umekurupuka mkuu.Ww si utateteaga Team Kataa ndoa 😊😊😊.
🤣🤣🤣 acha wenzio walinde buku buku zao bwana. 🤣🤣Naona wana wasiwasi kuwa wakioa alaf wakiachana watagawana mali.
Hii tu ndio Hoja yao ambayo naiona.
Ila nan amesema kila ndoa lazima muachane?.
Nan amesema kila ndoa mtakuwa na mali nyiiiing had uone unaonewa wakat wa kugawana?😊😊😊😊.
Kwanza Team Kataa ndoa naona kabisa hawana mali wale vijana. 😂😂😂. Asa sijui wanaogopa nn.
Hapo ana familia 3 tofauti, zenye kila kitu tofauti. Ana flaws kibao ila kajipa umungu mtu, wenzie ndio anawaona wajinga🙆♂️🙆♂️Kuhusu Hela. Nadhan ukiwa na Wanawake tofaut tofaut ndio hela inapotea. Huyo amezaa watoto watatu.
Hapo bado wadogo hao. Wakikua atajuta zaid kusomesha. Hasa wakiwa mbali mbali.
Yeah , maana yake hapa yeye ni zaidi ya hao wanawake anaodai wana ujinga.Na hii inamuelezea yeye zaidi kuliko hao wanawake.
🤣🤣🤣 samaki mmoja akioza sio? Mie naamini wapo wanaume wazuri na wanawake vivyo hivyo.Gender zote hovyo kabisa....hakuna husband material wa wife material wote ni ngonorizing material tuu
Wapo wanaooa wengi tu, ila sasa ndio uwe kati ya watakao olewa! Imagine akose wa kumuoa kisa jamaa yake, halafu jamaa yake yupo huku analilia mwanamke mwingine aoe!Ni kweli kuwa na mtoto alaf ukutane na Mwanaume na akuoe ni kipengele . Kawaharibia tu maisha wadada wa watu.
Hakuna kitu kama kujirudi, tabia ni ngozi hawezi kuiacha atapoa tu kwa muda! Mtenda hutendwa! Acha kumpotosha akaharibu mabinti wadogo huko akakomae na magumegume wenzie ndio watawezana! Kwanza muoaji hayupo hapo..! Ndoa ni vita akiudhiwa kidogo anaaga mashindano! Kuna mwanaume hapo?Pengne amejirud. Na dhamira ya kuoa iko. Sema ndio hajui aanzie wapi. Kwasababu ya umalaya wake anahisi hata akiwa na mwanamke bado atagongewa nje(hii ndio Hofu yake kwa nilivyomuelewa)
Na ndio maana nikamshaur atafute Bikra au msichana mdogo zaid atulie nae. Na Amuoe kama kweli Nia ipo.
Imagine unawekaje future ya watoto wako juu ya mikono ya mwanamke unayedai ni "mjinga"? Na hapo sio mmoja!!Yeah , maana yake hapa yeye ni zaidi ya hao wanawake anaodai wana ujinga.
Kweli asee! Sema tu imenigomea nilitaka kujiunga chamani haiwezekani mimi tu ndio niwe nalialia hapa wakati solution mnazo waungwa!Maisha sio magumu kama vile tunavyoamini 🤣🤣🤣
Anyway , tutoe boriti kwanza kwenye macho yetu kabla ya kutoa kibanz kwenye jicho la mtoa mada.Imagine unawekaje future ya watoto wako juu ya mikono ya mwanamke unayedai ni "mjinga"? Na hapo sio mmoja!!
Ikiwa ana akili sana alishindaa vipi kuchagua mama bora wa watoto wake?