Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Unavyozidi Kupanua Ndiyo Anavyozidi KutamaniKwamba unavutiwa namna navyoandika?
By Anna Tibaijuka
Unavyozidi Kupanua Ndiyo Anavyozidi KutamaniKwamba unavutiwa namna navyoandika?
Nikuokotee mawe 🤣🤣Unavyozidi Kupanua Ndiyo Anavyozidi Kutamani
By Anna Tibaijuka
😅😢🤣😆😃😍Nikuokotee mawe 🤣🤣
Shenziii zako mugabo😅😢🤣😆😃😍
Mungu Anakuona Mchana KweupeShenziii zako mugabo
🤣🤣 na wewe Mungu anakuona mchana kweupe pee😊Mungu Anakuona Mchana Kweupe
Hakuna Uhuru hapa duniani lakini nakusihi saana kaka achana kabisa kuwaza wanawake wa kuoa mtandaoni acha kabisa kakaLeo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached na kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke.
Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzi nimepiga zinanitisha sana, kiufupi nimekosa mwanamke anayefit maono yangu. Kwa Sasa nipo njiapanda niuze uhuru wangu, nichukue yoyote au nibaki hivi
Inabidi ufanye tuliyo kubaliana sasa au unaogopa?Dah sawa
Sasa kuogopa nini labda?Inabidi ufanye tuliyo kubaliana sasa au unaogopa?
MI NADHANI UNAPANIC TU BRO, UNA KAZI NI WEWE TU,MI PIA NI MIJANA EARLY 30 NA NILIKUA MGUMU SANA KUOA KAMA WEWE, ILA NIMEWAZA NA KUBAINI NDOA NI MUHIMU JAPO IKAWA MABINTI NAODATE NAO WENGI SINGLE MAZA NA MSIMAMO WANGU WA MIAKA YOTE KUTOKUOA SINGLE MAZA YAANI NIMEWAMWAGA WENGI SANA ILA ALHAMDULLH, NIMEPATA MSICHANA MNYENYEKEVU ANASALI SANA KAKULIA KWENYE DINI, JAPO MI SI MTU WA DINI SANA, NIMEMPIMA NA KWA AWALI NAONA ANAFAA,HANA MTOTO PIA KANAJITUMA ISHU NDO VILE KANATAKA NIKAJITAMBULISHE KWAO NA HUU NDIO MZIKI UNAONISUMBUA SABABU KIPATO CHANGU SIO KIVILE KIASI NIPATE PESA YA UKWENI KWA KUANZIA ILA BINTI HANA NOMA KAJIWEKA KWANGU.
Sijajua maana ulikubali ila sikuoni na ukasema sijui pm haiko sawa which was uongo tu. Au unaogopa nitakuibia madini? 😂Sasa kuogopa nini labda?
Ni kweli PM yangu ni mbovu ngoja nitaongea na moderator 🤣Sijajua maana ulikubali ila sikuoni na ukasema sijui pm haiko sawa which was uongo tu. Au unaogopa nitakuibia madini? 😂
Kawadanganye wengine sio mimi. Au bado umebeba ile battle ya kipindi kile? 😂 Daah ila utoto raha sanaNi kweli PM yangu ni mbovu ngoja nitaongea na moderator 🤣
hii ndio tatizo lakoKawadanganye wengine sio mimi. Au bado umebeba ile battle ya kipindi kile?
Bye mkuu🙏😂 Daah ila utoto raha sana
Panda daladala za Simu afu 2 kwenda Mbezi Louis, waambie wakushushe kitambaa cheusiToa location kabisa
Hakuna mwalimu fala kama wewe nazani unafurahisha jukwaa hapaLeo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa hadi nijipate kiuchumi na niliapa kabisa kuwa bila kuwa na mtaji na kujilimbikizia mali za kutosha sitoaa hadi nifike miaka 40(kwa nini niliafanya na kuapa vile ni sababu ya maisha ya walimu WA Tanzania yaliniogopesha sana ) thanks GOD upande wa uchumi ndoto zimefanikiwa kwa asilimia kubwa.
Tatizo ni upande mwingine wa maisha yaani najikuta sipo attached na kabisa na jamii, na sasa nakumbana na hali ya upweke.
Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke ,nina hamu ya kuoa anytime lakini nina wakati mgumu sana kuchagua mke wa kuishi naye , naona upumbavu wa wanawake wazi , naona vile walivyo na tamaa na mali, nashangaa wake za watu wananipa tu mbususu zao , changamamoto ni pale ninapoamua nichukue nakosa kabisa , naona I'm inviting problem, nikiwaza wanawake niliozaa nao naona kwa ujinga wao aisee ntakuwa nimekosea kabisa, na most pain ninayopata kila mwanamke ambaye naona sasa huyu naoa nakuta ni single mother.
Nimefika mbali sana huwa nawaza kusafiri niende mbali , nikutane na mwanamke ambaye sijui Abc nibebe, nilipanga hili niende DRC nikachukue mwanamke wa kikongo nawaona wapo humble sana na watiifu, ebola imezingua, nimefika mahali nasaka wanawake mitandoni labda tu nioe nisiyemfahamu maana kila nikiwaza hizi Manzi nimepiga zinanitisha sana, kiufupi nimekosa mwanamke anayefit maono yangu. Kwa Sasa nipo njiapanda niuze uhuru wangu, nichukue yoyote au nibaki hivi
Hahaha why, why, why,hii ndio tatizo lako
wewe mtu kukuweka karibu nikusogeza karibu disappointment huaga mood zako zina change anytime
Bye mkuu🙏
SafiiiHahaha why, why, why,
Yaani ni kama huwa unakuwa na shoti nikisogea kidogo tu unanichapa. Sasa mbona nimeonesha hadi emoji ya kucheka kuonesha nothing is serious? 😂
Ni kweli ila truth nimechange soo far. Never going to dissappoint u
Hapo ndipo unaponiachaga hoi😂Safiii