Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Oa upate mwenzako,mlee watoto, panapo uzima mzeeke pamoja katika raha na karaha, hayo mengine utajipa presha tu

Kuhusu kuchapiwa hilo wala usilipe uzito sana, nae atachakatwa tu kama unavyowachakata wake za wenzio, akiw na akili ya kujua kukuficha na kujali afya kwenye mambo ya kinga inatosha, wanawake wengi sikuhizi wanaolewa wana ma ex zaidi ya 10 tangu Sekondari unawakuta wakiwa wazoefu, na hata uoe bikra kwa mazingira ya sasa hakuna guarantee,
 
Matatizo yapo kote kote tu ukioa kuna matatizo na usipo oa kuna matatizo ...tunacho tofautiana ni machaguo tu ..kumbuka wapo walio oa na kufiwa na wake zao na wamebaki bila ya uwezo wa kuoa tena.
 
.".................Kama ni mbususu nachakata sana , vitoto vya chuo, wafanyakazi , wake za watu nimepiga sana , but bado najiona mpweke..............."

mbona ka bado una safari ndefu ya kufanya maamuzi?
 
Kama unataka kuoa kwa ajili ya upweke jipange tena, tafuta sababu nyingine. Kuna watu wengi wapo kwenye ndoa na bado ni wapweke.
Kuoa inabidi kupenda na kupenda sio jambo lakujiforce ni kitu automatic. Alafu braza upweke ni jambo baya kama utalichukulia kua ni baya.

Naona hapo unasafari nyingine ndefu ya kufikiria. Lakini kama nawew ni watu wa liwalo na liwe OA yeyote mengine utapambana nayo mbele ya safar.

Nina mengi naweza kukuambia ila ni maoni binafsi. Life choices is like schrodinger cat, it either in the box(good) or not(bad) until you open it
 
Wewe ni single father tena cubed!. Hutaki kuona single father kweli?, na hao ulowazalisha anamwachia nani awaoe?.
Unakili kutembea na wanawake wengi sana tena umeeleza kwa ufahari kabisa, lakini sasa huwatakii wanawake waliozaa na wenye historia za mahusiano mengi, huoni unavyofanana nao?..
Wewe ni mbinafsi.
 
Nenda Kibondo au Kasulu utanikuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…