Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Ndo maana una pressure comrade kazi zipo kibao apa mjini vijana wanaingiza pesa kwakutembeza bakora we unashangaa nini na ulitaka akazalishe kwenye kiwanda kipi?
Muache kijana akapambane kuna mashangazi yanamwaga ajira mjini utakufa kwa pressure achana na fursa za watu[emoji16]
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Kwa akili hizi ni lazima uuguwe presha na stroke iko njiani ndio uzikwe mazima watu wamuowe Mke wako.
 
Na iyo pressure huu mwaka hutoboi😂😂😂😂
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
(joke)
 
Tuachane na uzinzi.

Niambie hao vijana wa Nyerere waliifanyia nini nchi hii? Tumeikuta nchi gizani, barabara mbovu, maji ya bomba hakuna, njaa kila mwaka na umasikini totoro plus ujinga....walifanya kitu gani?
Alichofanikiwaga ni kuwafukuza wazungu na kukataza lugha ya kiingereza mashuleni.
 
eshasema anaenda nazo kazini unachoshangaa ni nini au presha imekumaliza akili zote?
 
Alichofanikiwaga ni kuwafukuza wazungu na kukataza lugha ya kiingereza mashuleni.
Umasikini wa nchi hii ulianza na vijana wa Nyerere na Nyerere mwenuewe..
Watu wakati wa masika walilimishwa mashamba ya ujamaa tena kwa kusakwa na mgambo badala ya kulima mashamba yao wenyewe.

Ingefaa tungekuwa na akina Mwamindi 100 wapige shaba hao migambo na viongozi type ya akina Kleruu.
Pua pua kabisa
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
ungemkuta ananunua double kiki, fegi, ugoro na kondom ndo ungelia kabisa mkuu
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Kwanza ungempongeza kijana kwa kujali Afya yake, pili usingekimbilia kuanzisha uzi hapa kabla ya kujiuliza watu wote wanafanya kazi mchana (muda unaofanya kazi wewe) tu!? Vipi kama ni askari ametoka lindo usiku na muda huo ndo anarudi kwake akaamua kupitia kondom ya kumlinda huko anakoelekea?
Kuna makundi mengi ya wafanya kazi ambao hawana muda maalumu wa kazi mfano Wauguzi wa Afya, Walinzi, Askari, wahudumu wa bar na hoteli kubwa n.k
 
Pole kwa presha za kujitakia. Labda alitoka mzigoni au yupo off au hana mishe.
Maisha yenyewe siku hizi hayaeleweki na kero za umeme n.k. halafu tena kufuatilia mambo ya watu kiasi hiki.
 
Umasikini wa nchi hii ulianza na vijana wa Nyerere na Nyerere mwenuewe..
Watu wakati wa masika walilimishwa mashamba ya ujamaa tena kwa kusakwa na mgambo badala ya kulima mashamba yao wenyewe.

Ingefaa tungekuwa na akina Mwamindi 100 wapige shaba hao migambo na viongozi type ya akina Kleruu.
Pua pua kabisa
Nyerere alikurupuka mno. Aliwafukuza wazungu wakakimbia na kuviacha viwanda lukuki ingali wazee wetu wakiwa hawana hata uzoefu wa kuviendeleza, vikajifia kifo cha mende.
 
Bro pole ninakazi za kuchomelea ndio nikaona Usiku nisilale kwa sababu ya mgao Wa umeme sasa asubuhi ndio naenda kulala.

VP kwani unaumia sisi vijana tuwe Wa ajabu ninyi miaka 60 yote hamna Maji wala umeme hatujasema mizee ya ajabu tunawavumilia tu hivyo hivyo .tuheshimiane mzee
Tukatae hili neno la "vijana wa hovyo" maana wazee wanadai wao awakua wa hovyo nawakati huo huo sisi ni watoto wao aiwezekani simba azae kobe maana yake ni kwamba kama wazee wanatuhita sisi watoto wao vijana wa hovyo bhasi na wao tuwaite "wazee wa hovyo"

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa nafanya kazi mizani ubungo pale lipo jengo la tanesco na tulikuwa na shift unatoka pale jirani kilikuwa na bar inaitwa Port access corner bar Maquis wanapiga pale au safari sound inakujia hamu ukaangalie kwa ochovu uliokuwa nao uwezi zaidi ya kwenda nyumbani kulala kama gunia maana zamani kazi ni kazi sio kutwa vijana mpo kwenye simu mara computer zama hizo kazi kazi kweli
Kazi zilikua za nguvu na sasa hivi kuna mashine za kuraisisha kazi kwaiyo maisha yamebadilika dunia inasonga mbele, kama unamuukumu huyu kijana kwa kumuona wa hovyo bhas hata nyinyi walikuwepo wazinzi na waasherati maana usiseme wote mlikua perfect hivyo hivyo hata sasa wapo wa hovyo na wapo walio smart,

Samahani sana we mzee tuheshimiane.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Atakuwa anatokea tIGO unakumbuka hamasa yao ya cha asubuhi, wana uzoefu wa hayo mambo
 
Back
Top Bottom