Vijana waambiwe ukweli kwamba Uanaume ni Ukakamavu, Uhodari na Ushujaa

Hayo ni mambo ya imani, Kwa dini yako bangi ni dhambi lakini nenda Jamaica uone wanavyomheshimu Bob Marley, nguruwe kwako dhambi ila sio Kwa wakristo, kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni dhambi ila sio Kwa waislam. Hivyo hivyo ushoga sio dhambi Kwa wasio amini ukristo na uislam au wasio na dini

Kuna wengine hawaamini dhambi, hiyo simu yenyewe kama ni iPhone wamiliki wa hiyo kampuni ni mashoga wote Sasa acha kutumia simu zao
 
Atakua anakimbia ndoa hiyo ni ishara ya wanaume dhaifu
 
Asikose hela, dunia ya sasa haihitaji nguvu, yahitaji pesa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haihitaji pesa bali wanaume hodari zaman wakina bila kuwa na hela walifanya mambo makubwa sana

Ukiona mwanaume kila jambo unalaumu pesa ujue wewe sio jasiri, sinalengo la kudharau umuhimu wa hela hapana kizazi cha leo kinachangamoto ya kutokua na wanaume jasiri
 
Bro calm down 😁😁

Japo ulichoongea kina ukweli, nadhani msingi wa kifedha na kiakili ni muhimu zaidi kwa sasa
 
Sio kweli hata zaman waliotawala ni wale waliokua na akili, imagine ki-nchi kama britain kilivyotawala sehemu kubwa ya dunia ile ni akili na sio nguvu
 
Sio kweli hata zaman waliotawala ni wale waliokua na akili, imagine ki-nchi kama britain kilivyotawala sehemu kubwa ya dunia ile ni akili na sio nguvu
Hiyo zamani inategemea context mkuu

Mimi niliongelea kwa mazingira ya kitanzania ambayo wengi walitegemea ukulima kuliko mambo ya professional careers, biashara, service based industries etc

Hata ukisema zamani kwenye utawala kuna kipindi Rome ilitawala na ilitegemea military ambazo hazikutumia technology kuliko misuli

Hata warfare ya leo sio waliyopambana WW1..

Kwa hiyo kila utawala hutawala kutokana na source of power kwa kipindi chake na sasa tupo kwenye technology na unako na kabila world super powers zomejiekeza wapi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…