Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mnyooshe mlichonacho.Na sisi wazee tuliochoka kukaa mjini tunyooshe nini?
Pesa halisi na safi ipo shambaniKijiji gani unazungumzia kwanza..aisee kuna wilaya moja inaitwa Mbinga kuna vijana wanamiliki pesa buana ..ila hawajui matumizi ya pesa kubadili maisha yao(siwapangi)physically na pesa wanazomiliki tofarent kabisa ..nilshangaa nilipofika kule milioni 10 wanaitamka kama buku tu pesa ya kahawa inaongea
Kabisa lakini nichogundua bado hawajapata elimu ya fedha ..wanaonufaika ni wakopesha pesa ..msimu mmoja mtu anakopa zaidi ya mil 100 akilipwa mil 120 zinaishiankulipa madeni hata hela ya kununua mbolea hana anajikuta vyama vya ushirika ,bank kote anatkiwa kulipa anabaki hana kitu.Pesa halisi na safi ipo shambani
Haya mabatibati yanachafua mazingira ya kijiji.
Kijiji gani unazungumzia kwanza..aisee kuna wilaya moja inaitwa Mbinga kuna vijana wanamiliki pesa buana ..ila hawajui matumizi ya pesa kubadili maisha yao(siwapangi)physically na pesa wanazomiliki tofarent kabisa ..nilshangaa nilipofika kule milioni 10 wanaitamka kama buku tu pesa ya kahawa inaongea
Unaweza kutumia hiyo kama fursa kwa kufungua kaofisi huko kijijini kwa ajili ya kutoa ushauri.Kabisa lakini nichogundua bado hawajapata elimu ya fedha ..wanaonufaika ni wakopesha pesa ..msimu mmoja mtu anakopa zaidi ya mil 100 akilipwa mil 120 zinaishiankulipa madeni hata hela ya kununua mbolea hana anajikuta vyama vya ushirika ,bank kote anatkiwa kulipa anabaki hana kitu.
CocasticWamatengo wana miliki Pesa kinomaa, na wanajua kuzitafutaa mnoo.
Unakuja kwa nauli yako tuMkianza kugawa nauli, mnitag nirudi kunyoosha mkono 😎
Cocastic
Inategemeana na kaziInawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu.
Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki, kufyatua matofali, kuponda kokoto, kuchoma matofali, kuchunga ng'ombe, kutengeneza vyungu n.k
Nyoosha mkono juu na useme, mimi naweza kazi za kijijini.
Bora huyu jamaa, kuna mwingine ng'ombe anazo hata 50 na anakaa nyumba ya hivyo!!!
Sina nauli, Naombeni mnichangieUnakuja kwa nauli yako tu
Kamata birika la kahawa uwauzie hao abiria wa stendi, baada ya siku tatu utakuwa umepata nauli.Sina nauli, Naombeni mnichangie
Kazi za kulima mashambani na kuchunga mifugo kama ng'ombe, kondoo, mbuziInategemeana na kazi