Vijana waliochoka kukaa mjini na wanatamani kurudi vijijini, nyoosheni mikono juu

Me napenda kwenda ila si kuishi kwa sababu ya shamba napenda kwa sababu nabadilisha mazingira
 
Me napenda kwenda ila si kuishi kwa sababu ya shamba napenda kwa sababu nabadilisha mazingira
Nyie ndio mnaoleta foleni mjini, unga ukipanda bei mnaanza kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…