Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

Jaribu na wewe kama rahisi.
Watu wanahamisha kazi za temesa. Tanroad ishindikane TBS. Ndugu na hapo unasema unawajua hawa jamaa.
Ona hujui hata kinachoendelea. Hawa jamaa wana ofisi Makabe road, njia ya kibozone au kinyerezi mmezoea kuita malamba mawili. Jamaa unaonekana unapenda sana ubishi.
 
Hauleweki hata kidogo mara kuacha kazi then tena eti kufukuzwa kazi hauleweki!
 
Nawapongeza kwa jambo walilofanya. Maana Tenda nzima ya EACOP tumewapa wao kufanya calibrations na testing za vifaa vyote vinavyohitajika. Maana tulikua tukienda TBS tunaona urasimu uliopo.

Mtu unaomba kupewa huduma mwezi huu unapata vifaa vyako baada ya miezi 3, halafu huku Serikali ikipiga kelele tunachelewa kumaliza miradi.

Uzuri kampuni ikiwa accredited inafanya kazi nchi yeyote nawao wapo accredited nawapongeza vijana.
 
Sasa malamba mawili ndio makabe?.
 
Bidhaa atengeneze mzungu, mhindi au mchina halafu ubora unakuja kupima mshenzi mmoja usiyejua kutengeneza hata toothpick
 
Walifukuzwa bwana! Kwani hizo picha zao 3 zinasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…