Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

Jaribu na wewe kama rahisi.
Watu wanahamisha kazi za temesa. Tanroad ishindikane TBS. Ndugu na hapo unasema unawajua hawa jamaa.
Ona hujui hata kinachoendelea. Hawa jamaa wana ofisi Makabe road, njia ya kibozone au kinyerezi mmezoea kuita malamba mawili. Jamaa unaonekana unapenda sana ubishi.
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Hauleweki hata kidogo mara kuacha kazi then tena eti kufukuzwa kazi hauleweki!
 
Kwa hiyo kufukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu na kuihujumu TBS ndo ujanja? Wangekuwa waadilifu wangeacha kazi kwa kufuata utaratibu na kwenda kufungua kampuni yao. Ila kufukuzwa imejaa ukakasi. Ni suala la muda tu kabla hawajaanza kuhujumiana wenyewe kwa wenyewe na kujivuruga. Hao vijana ni wahujumu na mafisadi.
Nawapongeza kwa jambo walilofanya. Maana Tenda nzima ya EACOP tumewapa wao kufanya calibrations na testing za vifaa vyote vinavyohitajika. Maana tulikua tukienda TBS tunaona urasimu uliopo.

Mtu unaomba kupewa huduma mwezi huu unapata vifaa vyako baada ya miezi 3, halafu huku Serikali ikipiga kelele tunachelewa kumaliza miradi.

Uzuri kampuni ikiwa accredited inafanya kazi nchi yeyote nawao wapo accredited nawapongeza vijana.
 
Watu wanahamisha kazi za temesa. Tanroad ishindikane TBS. Ndugu na hapo unasema unawajua hawa jamaa.
Ona hujui hata kinachoendelea. Hawa jamaa wana ofisi Makabe road, njia ya kibozone au kinyerezi mmezoea kuita malamba mawili. Jamaa unaonekana unapenda sana ubishi.
Sasa malamba mawili ndio makabe?.
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Bidhaa atengeneze mzungu, mhindi au mchina halafu ubora unakuja kupima mshenzi mmoja usiyejua kutengeneza hata toothpick
 
hakuna mahala niliposema wamefukuzwa, "wanaosemekana kufukuzwa" pia mm nipo kwenye industry ya constructions nakutana nao sana Tangu 2020 wakiwa wanafanya kazi kama walizokua wanafanya TBS lakini kwenye kampuni yao. Kwahio nawasifu kwa kujiongeza.

Walifukuzwa bwana! Kwani hizo picha zao 3 zinasemaje?
 
Back
Top Bottom