Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Watu wanahamisha kazi za temesa. Tanroad ishindikane TBS. Ndugu na hapo unasema unawajua hawa jamaa.Jaribu na wewe kama rahisi.
Ona hujui hata kinachoendelea. Hawa jamaa wana ofisi Makabe road, njia ya kibozone au kinyerezi mmezoea kuita malamba mawili. Jamaa unaonekana unapenda sana ubishi.