Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Ntakutafuta mkuu usijaliMkuu mm WATU wananipiga promo saaana nijiunge lkn mm mwenyewe siamini naona. Kama. Usanii flani hivi .lkn naona kama unaelekea kujiunga maana maisha haya ya kuajiriwa na KULIPWA laki tano NA mikopo ktk salary slips?nitajiunga tu. Ebu NI PM kunipa maelezo ya kutosha mkuu
Labda kwa wengine hii ya kwetu unajiunga kwa 9,000 tu mengineyo unafanya sawa na uwezo wako. Na tunapokea oda ya mteja pamoja na hela kama sinyote at least advance unaletewa bidhaa huwezi kutuma pesa njoo ofisin kwa dar na wa mikoani tunacontacts unaweza wasiliana na ofisi kujua uwakika wa kuipata bidhaa yako. Sasa kama unamuamini mteja wako waweza mchukulia kwa hela zako ukapeleka na ukarudisha pesa yako. Hatuna complication ya ku investment hela nyingi ambazo utajutia. Kila kitu ni kuamin kwa nini wao waweze sie tushindwe binafsi sijafika level juu ila kwa maisha niliyopitia naendelea kusema hii biashara inasaidia na haswa ukiielewa. Kama ilivyo akujuaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli ndivyo hivyo hii biashara inakupa upana wakufumbua mambo, unaweza fanya full time or part time.Hiyo biashara ya marketing nertwoking sio mbaya sana kwa nchi za wenzetu zinafanyika kiurahisi zaid lakin kibongo bongo ni kaz za kufanya kiujanja ujanja uwongo mwingi, nimeshuhudia wengi wanazilaumu na kuishia kupata hasara kubwaa, vijana weng wanazikimbilia mwisho wanarud wanalaumu lait ningalijua tatizo la hii business ukielezewa kwa Mara ya kwanza unashawishika sana na kuona ni biashara nzuri yenye faida sana lakini unapoanza kuifanya na baada ya kuweka mtaji wako unagundua n jamii ya utapeli? Kuna wachache sana wamefanikiwa ila wengine ndio wanageuzwa kuwa mtaji ya wengine. THEORY ya hii business ni rahisi kueleweka na wengi lakini PRACTICALY ni ngumu sana hivyo kupelekea wachache kufanikiwa na kuwaacha members wengine wengi wakilaumu kuwa ni UTAPELI.
Nawewe karibu mkuuSiku hizi sehemu zenye pesa watu wanaitana....duh!!!
Siku hizi sehemu zenye pesa watu wanaitana....duh!!!
Ni mtazamo wako pia, kama hujawahi fanya network marketing especially oriflame sidhani kama comments zako zina mshiko......sababu ni wazi kabisa oriflame kunawakati huwezi fanikiwa bila kusaidia wa chini yako. Huwezi kucomment kama huna experience na hii bilashara uta comments kwa theories which is not true some time, unless aliyekuunga aamue kutokukusaidia kwa chochote. Hivyo hivyo sijawahi fanya network marketing nyingine so siwezi comment kwa upande wao. Usijaji kazi yangu kwa mtazamo au maono yako jaji kazi yangu kwa experience.Ataekuita kwenye pesa ni ndugu yako au rafiki yako wa karibu ndio maana kuna undugulization
Na kiingilio n sh ngp n v2 gn unatakiwa uwe navyo?Kwa mkoa w iringa mmefka tujuze n sisi tujiunge
Unajiunga tu hata ukiwa mkoani, sharti uwe na miaka 18 tu. Kujiunga ni 9,000 tu unaanza biashara. Nitafute kwa 0717 343635Na kiingilio n sh ngp n v2 gn unatakiwa uwe navyo?
Tatizo ya biashara hii ni kuwa usanii ni mwingi kuliko uhalisia. Kuna wakati fulani niliwahi udhuria kikao chao kimoja pale LEGHO, mwanzoni kilinivutia. Ila mwishowe baada ya kufanya tathini nikaja gundua usanii mwingi na ni design fulani ya PHYRAMID SCHEME OF FRAUD. Nikaachana nao.Hiyo biashara ya marketing nertwoking sio mbaya sana kwa nchi za wenzetu zinafanyika kiurahisi zaid lakin kibongo bongo ni kaz za kufanya kiujanja ujanja uwongo mwingi, nimeshuhudia wengi wanazilaumu na kuishia kupata hasara kubwaa, vijana weng wanazikimbilia mwisho wanarud wanalaumu lait ningalijua tatizo la hii business ukielezewa kwa Mara ya kwanza unashawishika sana na kuona ni biashara nzuri yenye faida sana lakini unapoanza kuifanya na baada ya kuweka mtaji wako unagundua n jamii ya utapeli? Kuna wachache sana wamefanikiwa ila wengine ndio wanageuzwa kuwa mtaji ya wengine. THEORY ya hii business ni rahisi kueleweka na wengi lakini PRACTICALY ni ngumu sana hivyo kupelekea wachache kufanikiwa na kuwaacha members wengine wengi wakilaumu kuwa ni UTAPELI.
Wakati wenzio wanafanikiwa wewe endelea kutathimin mafanikio yao. Huo ni mtazamo wako na maamuzi yako.Tatizo ya biashara hii ni kuwa usanii ni mwingi kuliko uhalisia. Kuna wakati fulani niliwahi udhuria kikao chao kimoja pale LEGHO, mwanzoni kilinivutia. Ila mwishowe baada ya kufanya tathini nikaja gundua usanii mwingi na ni design fulani ya PHYRAMID SCHEME OF FRAUD. Nikaachana nao.
Umeongea vyema sanaFikiria hii
kibarua anayefanya toka saa 2 asb hadi saa 2 usk katika kiwanda cha nguo kama nida pale tabata analipwa sh 4000 na wahindi na huyo mtanzania anaelipwa hivyo na ana ndoto za kutoka kimaisha
asante tanzania
[HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]