Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Karibuni mtaani.
Kwa kweli ni kuzuri sana.
Tatizo vitisho ni vingi sana hasa kwa wanaofanya kazi.
Kwa kuwa ni yako utafanya kazi kupita masaa uliyokuwa ukifanya wakati umeajiriwa.
Ukifanya kazi unaona kabisa hela inaingia na utalazimika kuendelea mpaka let hrs.
Motives kubwa ni jinsi hela inavyoingia .
Huku hakuna kuchoka kadri unavyofanya kazi ndiyo hela inavyozidi kuingia.
Mteja akiulizia bidhaa halafu huna ,unatamani ujipige maana ni hela unaiona inaondoka.
Kwa kweli ujasiliamali unalipa sana.
Ila vitisho in vingi mno.
Wafanyakazi mnatishana mno kama vile ukiacha kazi ndiyo mwisho wa dunia.
Changamoto zipo .usiogope njoo. Unaweza.
 
Karibuni tupambane huku kwenye kujiajiri Changamoto zipo ila kujitoa asilimia mia , sio unakuja huku kujiajiri ukikutana tu Na changamoto kidogo unawaza ajiri ,Kwa ufupi kujiajiri kuna lipa ukijitoa .
 
Mi tangu nimalize chuo nimefanya kazi miaka mi3 tu kwa makampuni manne tofauti kwa kweli kazi ya kuajiriwa siiwezi siwezi kabisa kumtumikia mtu sasa hivi nimetafuta eneo nataka kujiajiri natafuta mtaji sasa
 
Pambana mkuu never give up
 
Nausoma kwa makini sana huu uzi.

Na watch thread kabisa.

Madini haya
 
Kuajiliwa ni mentaliti ya kibantu. Babu aliajiliwa, baba aliajiliwa, mama aliajiliwa. Wote hawa hawakuwa na maisha ya maana hadi wanastaafu na kuanza kudai mafao yao ya miaka 30 kwa manyanyaso tele. Wewe mjukuu umeona/kusikia yote haya bado unataka kwenda njia hiyohiyo?

Shtuka chukua hatua.

Ukweli Mchungu!!!
 
Habari,
Nimeanzisha channel telegram kwa ajili ya masuala na changamoto za ujasiriamali
Jiunge kupitia link hii UJASIRIAMALI

Vile vile nakaribisha posts na michango ya kijasiriamali niweze kupost
 
Nina ujuzi na eneo la kutendea kazi eneo linafaa kwa kazi za Karakana kama ufundi magari, pikipiki, uchomeleaji na maswala ya umeme ila sina Capital kama kuna mtu yupo tayari tuwekeze kwa pamoja karibu
 
Inagoma mkuu
Hakikisha una app ya telegram.Kama hauna ingia google play store/app store search "telegram" kisha install.Ukimaliza unaweza kutumia hiyo link tena, au ingia kwenye app kisha search "UJASIRIAMALI" utaona hiyo channel kisha join
 
Poa ngoja nijaribu mkuu
 
Back
Top Bottom