kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Uzi huu mtamu Sana Kwa economic fighter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha kama unalipwa zaidi ya hapo huwez kuacha kazi ?Ndoto za alinacha kuacha kazi kujiajiri labda kama unalipwa mshahara chini ya 200k
Kwa watakao kihitaji hiki hapa.
Audio
Pambana mkuu never give upMi tangu nimalize chuo nimefanya kazi miaka mi3 tu kwa makampuni manne tofauti kwa kweli kazi ya kuajiriwa siiwezi siwezi kabisa kumtumikia mtu sasa hivi nimetafuta eneo nataka kujiajiri natafuta mtaji sasa
Kuajiliwa ni mentaliti ya kibantu. Babu aliajiliwa, baba aliajiliwa, mama aliajiliwa. Wote hawa hawakuwa na maisha ya maana hadi wanastaafu na kuanza kudai mafao yao ya miaka 30 kwa manyanyaso tele. Wewe mjukuu umeona/kusikia yote haya bado unataka kwenda njia hiyohiyo?
Shtuka chukua hatua.
Kwa watakao kihitaji hiki hapa.
Audio
3 idiot napenda sana kuiangalia hii muvi inani encourage sanaAll is well.
Inagoma mkuuHabari,
Nimeanzisha channel telegram kwa ajili ya masuala na changamoto za ujasiriamali
Jiunge kupitia link hii UJASIRIAMALI
Vile vile nakaribisha posts na michango ya kijasiriamali niweze kupost
Hakikisha una app ya telegram.Kama hauna ingia google play store/app store search "telegram" kisha install.Ukimaliza unaweza kutumia hiyo link tena, au ingia kwenye app kisha search "UJASIRIAMALI" utaona hiyo channel kisha joinInagoma mkuu
Poa ngoja nijaribu mkuuHakikisha una app ya telegram.Kama hauna ingia google play store/app store search "telegram" kisha install.Ukimaliza unaweza kutumia hiyo link tena, au ingia kwenye app kisha search "UJASIRIAMALI" utaona hiyo channel kisha join