Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Mawazo ya hovyo haya🤣🤣 najaribu kufikiria, kuna wanaume watatoa mahari kidogo sana. Imagine katembea na 20 na wewe umetajiwa mahari 2m, ukigawa hapo utatoa laki yako unasema na mke🤣
 
Na nani atakubali kusema 20...
Kwa kawaida ni less than 3 hapo
 
Ndiyo tatizo la kutohudhuria vikao, mbona huu mjadala tulishakubaliana kitambo tu. Maana italipwa kwa Mwanamke ambaye umemkuta akiwa na bikra pekee, hawa wengine hakuna kufanya huo upuuzi.
 
🤣🤣🤣🤣Hapana kama hana mimba mahari apewe ila ndogo .
 
Unalipa mahari millioni 5, Halafu kuna muhuni alitoa Bikra kwa Chipsi kavu za jero na soda ya mia sita.

Huu ni utapeli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…