mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Una Imani potofu😂Kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Imani potofu😂Kwanini?
Yaani katembea na watu huko nyuma alafu wewe ndo uwe Mfalme?Una Imani potofu😂
Na wewe umetembea na watu huko yeye ana uhakika gani utatuliaYaani katembea na watu huko nyuma alafu wewe ndo uwe Mfalme?
🤣🤣🤣🤣Labda muhame mkoa.
Kipimo kile kile tu...🤓🤓🤓🤓Ajira huna, mahari utaweza kulipa? Tungekua tunawalipia na wanaume kipimo kingekua nini? Life itself is complicated bado na wewe unacomplicate
Kwa mbili imeisha .Na wewe umetembea na watu huko yeye ana uhakika gani utatulia
Aisee mimi nitatulia kwenye ndoa. Ila Hawa ke ambao washapitiwa na watu , kutulia ni uongo .Na wewe umetembea na watu huko yeye ana uhakika gani utatulia
Kutulia kwa izo ndoa sio justification ya kuhalalisha utaperi wa kutoa mahari.Na zipo ndoa mwanamke kaolewa hana bikra, na zimetulia
Nazo sio stori za vijiweni
Una muwowa alafu unaenda kaa nae ndani ndani huko kijijini.. atatulia tuu 🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌Aisee mimi nitatulia kwenye ndoa. Ila Hawa ke ambao washapitiwa na watu , kutulia ni uongo .
[emoji3][emoji3][emoji3] that is valie for moneyMawazo ya hovyo haya[emoji1787][emoji1787] najaribu kufikiria, kuna wanaume watatoa mahari kidogo sana. Imagine katembea na 20 na wewe umetajiwa mahari 2m, ukigawa hapo utatoa laki yako unasema na mke[emoji1787]
Na wewe unaamini? Sio kila limtokalo mtu anamaanisha we shauri zako 😄😄😄😂😂Ipoje mkuu wakati mi nimeshaambiwa sana.
Siyo wote wanawakumbuka walio watoa bikra,je mfano hao watoto wanao bakwa bikra zao zinatolewa unataka kuniambia mpka wanakuwa wakubwa wanawakumbuka kwa upendo hao watoa bikra au kwa machungu?Bikra ina umuhimu sana mkuu. Mwanamke hamsahau aliyefanya naye sex kwa mara ya kwanza. Nina experience.
Haiwezekani zigo lote aangushiwe baharia mmoja wakati hajapita peke yakeKwa niaba ya Ex's limepita hilo
HahaAisee mimi nitatulia kwenye ndoa. Ila Hawa ke ambao washapitiwa na watu , kutulia ni uongo .
Na huenda vijana wengine wamegharamikia sana na show kidogo .Haiwezekani zigo lote aangushiwe baharia mmoja wakati hajapita peke yake
Dah yaani unagharamia kuhama naye mkoa, waste of money.Una muwowa alafu unaenda kaa nae ndani ndani huko kijijini.. atatulia tuu 🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
poor brain mko wengi 😂Kwa mbili imeisha .
Kwa mbili imeisha.
🤓🤓🤓🤓🤓
imarisha uchumi wako rafiki yanguKutulia kwa izo ndoa sio justification ya kuhalalisha utaperi wa kutoa mahari.
Niambie dadangu, nipone.Na wewe unaamini? Sio kila limtokalo mtu anamaanisha we shauri zako 😄😄😄😂😂
NakaziaLeo ni Agosti 10, hivyo sishangai vitu kama hivi naunganisha na siku yenu
View attachment 2777718