Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Kuwa jobless sio kilema mkuu. Ninaweza nisiwe na uwezo huo sasa hivi ila hapo badae mambo yakawa mazuri. Kheri yako ambaye umebarikiwa kipato kizuri. Mungu wako aendelee kukuzidishia
Wapi nimesema nna kipato? Nyie ndio mnafanya wanawake wawape bikra feki mchina anauza bei cheee....
 
Uhuru wa kutokutoa mahari unao, uhuru wa kutafuta bikra na kuoa unao, uhuru wa kutokuoa unao ila unahangaika na usivyotaka. Mkuu hii dunia mambo ni mengi, shika yanayokuhusu.
 
Exactly.

Unaona jinsi ilivyo rahisi kupindisha pindisha maneno kwenye haya masuala😂

Unachotakiwa uzingatie ni kama mnapendana kweli
Aisee nikuambie kitu, mwanaume ukishindwa mridhisha mwanamke, hutaacha ona kila rangi. Angalia hao mabikra wa kiume, wanatesekqga mno,, wao wanajua kuchomeka tu basi.
 
Wazazi wanahaki ya kuchukua mahali haijalishi binti katumika kiasi gani,wao Kama walifanya jukumu lao ipasavyo basi pia ni jukumu la binti kujitunza
Sijasema mahari isichukuliwe nimekazia zaidi kwenye kigezo cha value for money. Mahari ni zawadi kwa kutunziwa mke yaani unapewa binti akiwa bado kigoli sasa kama iyo sifa binti hana basi mahari igawanywe kwa wanaume wote aliotembea nao.
 
Kwasababu wazazi walipaswa kuhakikisha binti yao hafunuliwi, kwa mila na desturi zetu za Kiafrika na hata dini ya Kiyahudi zinafundisha hivyo.
Lakin maisha ya Sasa ni tofauti,wazazi wapo busy kutafuta hela huo mda wa kumchunga binti wa miaka 16 kuendelea huko wanaupata wapi,wakat shuleni kila kitu kinafundishwa?
 
Lakin maisha ya Sasa ni tofauti,wazazi wapo busy kutafuta hela huo mda wa kumchunga binti wa miaka 16 kuendelea huko wanaupata wapi,wakat shuleni kila kitu kinafundishwa?
Upo, mtoto ukimfundisha akiwq mdogo, atashika mambo hayohayo akikuwa.
Mtoto akiwq na tabia mbovu, ni uzembe wa wqzazi.
 
Kwa maisha sasa mwanaume kulipishwa mahari ni utapeli wa wazi wazi kabisa kwa sababu wanawake wa leo hawana sifa walizokua nazo wanawake wa jamii ya zamani kipindi ambacho uliwekwa huu utaratibu wa kutoa mahari.

Tunaposema mahari ni shukrani kwa kutunziwa mke maana yake unapewa binti akiwa bado kigoli ambae hajaguswa yaani unaenda kuizindua mbususu wewe mwenyewe maana tukisema matunzo kama kusoma, mavazi, chakula n.k hayo hata mtoto wa kiume anatakiwa kupewa pia.

Iweje nilipishwe mahari wakati sijapita peke yangu? This is unacceptable. Wakati wa ku-negotiate mahari mwanamke aweke wazi wanaume aliotembea nao na mahari igawanywe kulingana na muda ambao walikaa katika mahusiano na kila mwanaume husika.
Hapana, hutaweza kumuoa mwanamke ambaye mtapanga foleni kutoa mahari maana mtajipa mamlaka wote kwa huyo mwanamke
Napendekeza mahari ifutwe kwa wanawake waliokwisha tumika.
 
Back
Top Bottom