Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

sio haki maana hata sisi hatupendi kubadili wanaume. ni vile hamjatulia mnachovya chovya!
Suala la kutotulia sio la upande mmoja tukianza kutupiana lawama mjadala hautaisha leo. Ndo maana nikasema basi mahari igawanywe kwa wote ambao washapata utamu wa bidada au iondolewe kabisa. Binti akishakosa bikira tu basi hana uhalali wa kutolewa mahari na hii ingekua ivyo ivyo kama mwanaume ndie angekua anatolewa mahari
 
Mla mlaleo mlajana kala Nini?🤣🤣🤣🤣🤣🪑
 
Suala la kutotulia sio la upande mmoja tukianza kutupiana lawama mjadala hautaisha leo. Ndo maana nikasema basi mahari igawanywe kwa wote ambao washapata utamu wa bidada au iondolewe kabisa. Binti akishakosa bikira tu basi hana uhalali wa kutolewa mahari na hii ingekua ivyo ivyo kama mwanaume ndie angekua anatolewa mahari
sawa tutawatolea mahari mana mnajitunza
 
Tupoze makali ya mahubiri kidogo!

Bila kupoteza muda hivi wanaume wenzangu mnawezaje kutoa mahari kwa mwanamke aliyeshindwa kuilinda bikra yake isipotee kabla ya ndoa? Hayo ni matumizi mabaya ya hela.

Ukio mke hana bikra jua umeoa mke wa mtu.

Jumapili njema
 
Hayo ndio yalikuwa mahubiri ya leo?
 
Mughonile!

Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.

Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke asiyebikra hata ukimuoa huyo sio Mkeo.

Inashangaza mtu kumuita MKE Mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, sijui no ukichaa au ushamba.

Bikra matter's
Upo sahihi

Wengi wameoa Wanawake wasio wa kwako...yaani wameoa wake za watu

Tangu kuumbwa kwa dunia hii Bikra ilipewa thamani na maana kubwa

Tuheshimu bikra za Wanawake

Bikra ni Heshima na Thamani kwa Mwanamke
 
Mughonile!

Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.

Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke asiyebikra hata ukimuoa huyo sio Mkeo.

Inashangaza mtu kumuita MKE Mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, sijui no ukichaa au ushamba.

Bikra matter's
Hakika
 
Kijana oa, ndoa ni mpango wa Mungu aliuasisi Edeni . Watu waongezeke, wakaijaze nchi. Ukioa unampendeza Mungu na Mungu kwakuwa umetimiza moja ya maagizo yake muhimu lazima akubariki afya njema, akubariki uzao mwema, akubariki ridhiki Ili usihangahike uwapo duniani.
Lakini kuoa bikra hilo pia ni agizo la Mungu, ndoa ni tendo la ndoa hivyo ukioa Binti aliyefanya mapenzi (tendo la ndoa) maana yake umeoa mzinzi labda yule aliyefanya naye ndoa (tendo /jimai) awe amekufa.
Kama si bikra usioe labda upate ushahidi kuwa mume wake amekufa.
Hii mada haihusiani na mambo yale kwamba atakucheat na ex wake no. Nazungumzia uhalisia na maagizo ya Kimungu.
Watakuja watu watasema je , huyo kijana naye hajawahi kusex?
Nijibuni maswali haya:
• Kwanini katika ndoa mtoto hutambulika ubini wa baba yake?
•kwanini dini karibu zote zinaruhusu mume kuwa na wake zaidi ya mmoja huku hakuna dini hata 1 inayompa ruhusa mke kuwa na wanaume zaidi ya mmoja?
•Kwanini mapepo huwaandama sana wanawake kuliko wanaume?.
 
Back
Top Bottom